Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kama nauli tu mnakusanya kwa kuchangisha wananchi hili nalo mtaweza?Muda huu naangalia ACT wako kila sehemu Live YouTube. Chadema hakuna kitu. Clips fupi fupii na za hovyo. Na hata Jana ilikuwa hivyo hivyo Arusha. Wiki iliyopita, Mbagala na Segerea same.
Mimi CCM lakini napenda kumuona Lissu, na ntampigia Kura.
Chadema ni chama kikubwa, badilikeni. Hakuwezi kushindwa kufanya Live Broadcast YouTube na mkiendelea hivi. CCM itatumia huu mwanya kuwavuruga na hamtaamini
Kwa kweli kitengo cha habari ni utopolo kabisa! Wanashindwa nini kuchukua vijana wadogo wadogo waliomaliza IT wafanye mambo?Muda huu naangalia ACT wako kila sehemu Live YouTube. Chadema hakuna kitu. Clips fupi fupii na za hovyo. Na hata Jana ilikuwa hivyo hivyo Arusha. Wiki iliyopita, Mbagala na Segerea same.
Mimi CCM lakini napenda kumuona Lissu, na ntampigia Kura.
Chadema ni chama kikubwa, badilikeni. Hakuwezi kushindwa kufanya Live Broadcast YouTube na mkiendelea hivi. CCM itatumia huu mwanya kuwavuruga na hamtaamini
Hawafai kupewa nchi kama vitu vidogovidogo hivyo wanachemsha itakuwa nchiHata wakiamua kutumia kurasa za Lissu Facebook, Twitter na Instagram kuwa live yaani watawafikia watanzania wengi Sana watu tunaweka 10 GB kwenye simu kuwacheck ila wanazengua Sana
Hawataki muone live!! Wanataka watengeneze kwanza picha kabla hawajapoti humu. Unafikiri kwa nini Mwenyekiti Faru John aliwafukuza TBC1 hawataki kabisa picha za drone,, wanataka picha za migongoni na facial photo kama za passport size in Lissu's voice!!Muda huu naangalia ACT-Wazalendo wako kila sehemu Live YouTube. CHADEMA hakuna kitu. Clips fupi fupii na za hovyo. Na hata Jana ilikuwa hivyo hivyo Arusha. Wiki iliyopita, Mbagala na Segerea same.
Mimi CCM lakini napenda kumuona Lissu, na ntampigia Kura.
CHADEMA ni chama kikubwa, badilikeni. Hakuwezi kushindwa kufanya Live Broadcast YouTube na mkiendelea hivi. CCM itatumia huu mwanya kuwavuruga na hamtaamini
Alishazipiga na genge lake lakina Mdee na Lema!Mbowe kachangisha wabunge hela za uchaguzi, hajazipiga kweli?
Ingeshafungiwa mkuuKwa hali halisi pamoja na kufungiwa kwa magazeti yenye hoja ponzani.
CHADEMA mlipaswa kuwa na vyombo vya habari walau TV na Radio kuugikia uma wa watanzania wengi wana Mabadiliko.
Wanaogopa nini kuwa live hata you tube???
Nimecheka mnoWatarusheje Laivu wakati wanasubiria ku edit nyumi
Kwa kweli wengine wenu kama si wajinga wa kutupwa basi mnayo yenu. Hivi CAPO DELGADO unajua vikwazo vilivyowekwa kuzuia uoneshaji live hapa nchini! Kama hata vituo binafsi vinazuiwa, hiyo ruhusa Chadema itaitoa wapi? Hivi mnaujua udikteta ama mnausikia tu? Mnaujua ukandamizaji wa habari au mnauota tu? Kwa nini mnadhani Chadema haina hata kituo cha redio? Mbona hata kagazeti kamoja walichokategemea kamefungiwa, je TV? Mbona mnaropoka kama mazuzu!?Kwa hali halisi pamoja na kufungiwa kwa magazeti yenye hoja ponzani.
CHADEMA mlipaswa kuwa na vyombo vya habari walau TV na Radio kuugikia uma wa watanzania wengi wana Mabadiliko. Wanaogopa nini kuwa live hata you tube???
Kwa kweli wengine wenu kama si wajinga wa kutupwa basi mnayo yenu. Hivi CAPO DELGADO unajua vikwazo vilivyowekwa kuzuia uoneshaji live hapa nchini! Kama hata vituo binafsi vinazuiwa, hiyo ruhusa Chadema itaitoa wapi? Hivi mnaujua udikteta ama mnausikia tu? Mnaujua ukandamizaji wa habari au mnauota tu? Kwa nini mnadhani Chadema haina hata kituo cha redio? Mbona hata kagazeti kamoja walichokategemea kamefungiwa, je TV? Mbona mnaropoka kama mazuzu!?
Full ku edit, hiyo ilikuwa ni ya Lowasa 😀😀😀😀😀Baada ya kufulia, wamebakia kwenye kutengeneza matukio ya kujipaisha kisiasa.