CHADEMA mnaweza kufutiwa kesi na kuitwa Ikulu lengo wasinyimwe misaada na mikopo. Ikitokea, wekeni mashariti ndio muitike wito wa aina hiyo.

CHADEMA mnaweza kufutiwa kesi na kuitwa Ikulu lengo wasinyimwe misaada na mikopo. Ikitokea, wekeni mashariti ndio muitike wito wa aina hiyo.

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Wakiongozwa na Marekani, wafahili wanaweza kukata ama kupunguza mikopo na misaada kwa Tanzania kutokana na ujinga unaoendelea hivi sasa.Hivyo, ili kuwaridhisha wafadhili, hayo makesi ya mchongo yatafutwa na mnaweza kuitwa Ikulu.

Pia, katika kujisafisha, Mama atatamani sana apige picha na viongozi wakuu wa CHADEMA ili picha hizo zisambazwe humu nchini na duniani kwa ujumla.

Wito: CHADEMA kuweni na mashariti kabla ya kuitikia wito wowote ule na mojawapo ni kutaka Waziri wa Mambo ya Ndani, Bwana Masauni na IGP Wambura wanajiuzulu bila kusahau shariti la Waziri wa TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Sambazeni picha zooooooooooote za mapolisi walivyotanda kuzima maandamano ya haki kwa Iternational community
 
Hakuna cha kuitwa Ikulu wala lolote, infact baada ya muda wataachiwa tu, hawa jamaa hakuna hata haja au ulazima wa kukaa nao, muhimu serekali idhibiti watu kutekwa, na yasitokee tena, although, tutashuhudia chadema wakijiteka wenyewe, lengo ni kuonekana upinzani unagandamizwa na misaada ya nje ni muhimu kwao!
Mnatia aibu sana nyie ma-CCM
 
Wakiongozwa na Marekani, wafahili wanaweza kukata ama kupunguza mikopo na misaada kwa Tanzania kutokana na ujinga unaoendelea hivi sasa.Hivyo, ili kuwaridhisha wafadhili, hayo makesi ya mchongo yatafutwa na mnaweza kuitwa Ikulu,,,
Hoja makini
 
Hakuna popote kwenye kitabu chochote ambapo Mungu aliagiza turidhiane na Shetani
 
Back
Top Bottom