Wahamie Cdm kabla ya June 1 baada ya hapo Mlango utakuwa umefungwa.
sawa kutamka ni rahisi, kinachotakiwa kwa CDM ni kufanya kazi kwa vitendo. Waendelee kuwaelimisha wananchi wote, hususan vijijini- bila kukoma- vinginevyo ukombozi utakuwa mbali.
mkuu vitendo si vinaonekana..
hizo ni kelele tu, wapeni mwaka mmoja tu CDM utawasikia. Chama lazima kisambaratike kama vyama vingine vya upinzani. CCM kuanguka 2015 ni ndoto vijana. Matabaki na kelele tu.
unajua kwenye supermarket mara nyingi vitu vinavyo wekwa kwenye discount section ni vinavyo karibia kuexpire, sasa unakuta jamaa hatizami tarehe ila anakimbilia kununua vingi ilimradi viko kwenye discount halafu vinamharibikia nyumbani.
Huu ni mfano mzuri wa cdm, ni bidhaa ya discounted section..na mtu anaepaparuka ndio mshabiki wao.
Juzi ktk mkutano wa hadhara na wananchi wa mbeya, mwenyekiti ndg Freeman Mbowe alisikika akisema "moto waliouwasha hautazimika mpaka kieleweke", this means vyama vingine visitarajie anguko lolote kwa chadema bt wajipange kwa mageuzi yajayo. Je hii inatoa somo gani kwa wanachama, viongoz na wapenzi wa ccm?
Teh! Twajua bwana Omr hata haiitaji mjadala, mufti keshawataka waislam wote muichukie cdm! Polen!