johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Rombo ambaye pia ni Meneja wa Mtangazaji maarufu nchini Joyce Kiria Mh Henry Kilewo amemshukia vikali mjumbe wa CC ya Chadema Mh Godbless Lema Kwa kutomuunga mkono mchagga mwenzake Mbowe na badala yake akawa na Mnyaturu Tundu Lissu
Kilewo amesema kitendo cha Lema kushauri Mbowe anunuliwe Zawadi ya gari ni kutaka kujipendekeza tu kwani Mbowe hana shida ya gari
Naye Godbless Lema amemjibu Kilewo kwamba ni heri akae Kwa Kutulia kwani anayajua mauchafu yake mengi sana
Lema amesema yeye hapendekezagi mambo ya Ukabila ingawa wanatoka Kijiji kimoja na Mbowe
Mnyukano unaendelea Ukurasani X
Ahsanteni sana 😄