Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,443
- 2,643
Ndio,Mkewe Hawa Bananga anagombea Ubunge Jimbo Mojawapo la Tabora kupitia Chadema.Unamuongelea Bananga Yule rafiki ake Mrisho Gambo na Msando wanaoshinda wanakunywa wote pale The Don sio?
yuko vizuri sana tena sana...Yule mama wa BAWACHA CHATO anafit hii position, ni mpambanaji sana yule dada
Huyo upeo wake ni Mdogo sana kashindwa kujua kuwa Samia alikosea kusema wapo wapinzani ambao tayari wamehukumiwa sembuse propaganda zingine?Wakuu nawasalimu,
Naushauri uongozi wa CHADEMA wampe kazi ya usemaji wa chama taifa ndugu Binamu Bananga, eneo hili ni muhimu kujibu propaganda na kutengeneza propaganda za kisiasa. Kitengo hiki CHADEMA hakipo sawa kwa maoni yangu, naona Bananga ni mtu sahihi.
Ndiyo huyo Huyo mlevi hana anachokijua ni mtu asiyefaa chadema kwani ni mnafiki kupindukiaUnamuongelea Bananga Yule rafiki ake Mrisho Gambo na Msando wanaoshinda wanakunywa wote pale The Don sio?
mchawi wewe, kwa hiyo??? Mbowe ana urafiki na kikwete na mawaziri wengi, asiwe mwenyekiti?Unamuongelea Bananga Yule rafiki ake Mrisho Gambo na Msando wanaoshinda wanakunywa wote pale The Don sio?