Chadema msiba wa Salome hawahusu?

Hii habari ni nzito na nitaifuatilia . Hivi ndiyo huwa natoa hapa habari nyingi lakini Mtu wa Pwani huwa anaona ni udaku. Asante sana kwa hili tutalifuatilia .Niko Mwanza nangoja ndege ya kwenda Dar nitajua mengi huko.
 

Politics as usual and Spinning at its best. Je wazungu wanaomsifia Kikwete wametoa rambi rambi?
 
ni swali la kitoto, halina uzuri wowote! yaani wote waliotoa rambirambi wawekewe mabango?

thanks again.

Sema mama! maana siyo tu la kitoto bali ni la kipumbavu! Wakati wa misiba inabidi tofauti za vyama ziwekwe pembeni na maswali kama haya yasipewe nafasi hata siku moja kufa hakuna mmoja leo kafa mmoja wa kiongozi wa CCM kesho atakuwa wa CHADEMA au chama kingine chochote.
 
Hii habari ni nzito na nitaifuatilia . Hivi ndiyo huwa natoa hapa habari nyingi lakini Mtu wa Pwani huwa anaona ni udaku. Asante sana kwa hili tutalifuatilia .Niko Mwanza nangoja ndege ya kwenda Dar nitajua mengi huko.

Nilipoamua kujiunga na ukumbi huu kilichonivutia zaidi ni heshima inayoonyeshwa na wachangiaji mbali mbali pamoja na kuwa wanatumia majina ya bandia. Pia yanayochangiwa yanawagusa Watanzania wengi kwa namna moja au nyingine bila kujali ni wafuasi wa vyama gani. Lakini siku za karibuni naona uhuru wa kutuma jumbe hapa umeanza kutumiwa vibaya na inaelekea inataka kupandikizwa mbegu ya chuki miongoni mwa Watanzania.

Tumeshaambiwa kwamba hata viongozi wa juu husoma jumbe hapa JF. Tafadhali nawaomba wote muutumie vizuri uhuru huo, vinginevyo mtaiharibu hadhi ya JF miongoni mwa wananchama na wale wasio wanachama.
 
Bi. Kiwelu (MB) alikuwepo nyumbani kwa marehemu na alituma salamu za rambirambi, kama hukuangalia channel 10 bahati mbaya. Hata hivyo hadi hivi sasa sijaona salamu za TEC, CCT, BAKWATA n.k hivi wote hawa msiba hauwahusu?

asante.


Mimi niliangalia Channel 10 aliongea kama yeye sio kama CHADEMA hakusema hivyo!!! acha "u-mpaka kieleweke wako"
 
mbona sioni tatizo? au kwa sababu ni waziri? je ile kashfa nzito ya Dr. slaa mbona wale wale wanaopinga ujumbe huu walikuwa wa kwanza kuichambua?
 
msiba huu ilishakuwa siasa na wameanzisha sisiemu kwa hiyo kuanzia hapa ni siasa about huu msiba ....

just wait for the tone!
 
Nahisi woote hammna kazi ya kufanya, sijui mnachojadili wala mnachochangia humu.

Sorry guys!
 
gademu ! wapuuzi mshakuja na yenu, mlitwist sana mambo juu ya huyu marehemu maskini kila kitu kikiwa involved na siasa, eti mtakufa sana mwaka huu, kwa hiyo mnafurahi sana mama wa watu kufa eeh ? siasa zitawaua shauri yenu, na mapenzi ya kijinga hayo !
 
wapo vizuri kuangalia pande zote especially kwa chadema lakini sio kwa upande wa ccm, na hapo ndipo nadhani wanainyima haki ccm ! lakini regardless ya wao kuinyima haki mtandaoni hakuna kilichoharibika !
 
Utameza nyembe kwa hasira mwaka huu.

JF hata uipondee itabaki kuwa bora na the best.

kwi kwi kwi kwi kwikwi
 
humu kuna wengine naona wanataka kureplace nafasi za ze comedy na wanaonekana wakifanya bora hata kuliko hao ze comedy wenyewe ! mabosi wao je sijui watakuwaje !!

chase the book with the documentary, in short am meant to be here, dont know boutchu ! simply am stick to your skin, kama hupendi kata kipisi cha ngozi ili nisikugande !
 
sijaona salam za rambi rambi za chama makini juu ya huu msiba kama chama, jee ndio hauwahusu? ndio mafisadi hawastahiki kupewa mkono wa pole?

Zitto ndio alikuwa mmoja wa watu wa kwanza kutoa msaada kwa marehemu hao.
Si wa CHADEMA huyu?
 
Zitto ndio alikuwa mmoja wa watu wa kwanza kutoa msaada kwa marehemu hao.
Si wa CHADEMA huyu?

na usisahau alikuwa wa kwanza kueneza picha za mauti ya mwenziwe kama njugu, yaani baada kufikiria ubinaadamu katake advantage maimail yanazunguka kwa picha alizopiga zitto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…