Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Tunatakiwa kujiuliza kwanini nchi inapotaka kufanya maandamano ya amani na ku express hisia za wananchi, CCM huwa inahaha kuhakikisha hilo jambo halitokei, kuna nini? Shida ni nini?
Je ni mkate wenye siagi nyingi utapotea?
CCM na serikali yake inalazimisha umma kuamini nchi inaamani, uhalisia wa vitendo ni tofauti na huku tunashuhudia maiti kila uchao
Kama Serikali ya CCM ingekuwa inaheshimu amani ya nchi, tungekuwa na katiba tayari, polisi wangekuwa na nidham na raia, viongozi wangekuwa na nidham na raia.
Yupo amefikia hata kusema hatopeleka huduma kisesa, hii yote ni kuonesha wao wana power kuliko raia.
Chadema kama mmekusudia kutetea haki ya wananchi na maslahi ya Taifa yaliyouzwa, basi ya kanisani yaacheni kanisani kwa maana hata Padri amekiri leo kuwa things are not so well in Tanzania
Hoja ya msingi ni mbona hivi vifo na utekaji tunasikia kwa raia na upinzani tu, mbona sio kwa CCM au watoto wa viongozi? Ni amani gani inayozungumzwa na watu wa serikali ya CCM?
CCM acheni uoga changes ni inevitable katika maisha, nothing last forever, anzeni kujifunza mabadiliko, maana denial yenu na kujiona nyie mna hati miliki na nchi huku mnajaza matumbo yenu , mtaiweka nchi kwenye shida!
Hilter too had a vision for a new Germany
Yakanisani yaachwe kanisani... Chadema simamieni msimamo wenu na kanisa linawategemea ndio maana padri ametamka mbele ya hao mafisi-emu kuwa hali sio shwari ili muweze kuirudisha amani na tumain kwa raia, hofu kwa raia ni kubwa
Dr. Megalodon, Otawwa