CHADEMA msiiiweke Tanzania majaribuni kwa hili la CHOPA isiyo na leseni; Mamlaka chukueni hatua

CHADEMA msiiiweke Tanzania majaribuni kwa hili la CHOPA isiyo na leseni; Mamlaka chukueni hatua

Naona bila hata kujua umeamua kunawasaidia kuwapa promo CHADEMA

Binafsi sijaona hoja yako hapa zaidi ya kuwa unasumbuliwa na hofu na wivu tu

Chombo kama hiki kisipokuwa na usajili au kibali unadhani kinawezaje vipi kukata anga la Tanzania bila mamlaka husika kujua na kuchukua hatua haraka?


Jinga sana wewe comte
 
Mnapiga MAYOWE moto ndo unalipuka leo Loliondo Waso kimbunga kimepita mkipata hata kitogoji kimoja mfanye sherehe hapo Lumumba
 
Chadema songa songa songa bila hofu, mama yao mwepesi kuliko karatasi

Hapendwi na havutii
 
Back
Top Bottom