Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake nyingi ili ajenge chama, msidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi
Tundu Lisu ni kivuruge ni mwanasiasa mzuri sana lakini tatizo lake ana mdomo mrefu sana
Kuweni na Heshima na Adabu mnapomzungumzia Mbowe
Nani kati yenu yupo tayari kuuza mali zake kwaajili ya CHADEMA?
Kama hitaji lenu ni Mwenyekiti mpya basi muwe na heshima na adabu mnapomstaafisha Mh Mbowe sio kwa kiburi na dharau mnazotaka kuleta lasivyo itawagharimu