CHADEMA msitoke kwenye reli, acha wateuane _watengueane kazia ajenda zenu za kitaifa na chama chenu.

CHADEMA msitoke kwenye reli, acha wateuane _watengueane kazia ajenda zenu za kitaifa na chama chenu.

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Achana na CCM, wateuane, watenguane. Chadema endelea na mikutano yenu.

Fichua maovu ya CCM kama mlivyokazia kwa Nape. Nadhani kama siyo Chadema, Nape asingelitenguliwa.

Erythrocyte
 
Simpaka wawepo kwenye hiyo Reli basi.

Itoshe, teua tengua hii inamsaidia Mbowe. The call for his resignation is deafening.
 
Mama anataka haki na uhuru kwenye uchaguzi hiyo ndiyo meseji aliyoituma kwa Chama chake kwa utenguxi wa Nape
 
Back
Top Bottom