Chadema msitudanganye, kwani ujio wa Lowassa 2015 haukuwa na viashiria Vya Rushwa? Kwanini Leo mumsakame Abdul aliyeombwa msaada na Wenje?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Chaguzi ZOTE za Chadema hugubikwa na Rushwa kubwa kubwa Sema tu this time wanufaika ni wachache ndio tunasikia haya makelele

Chadema na Rushwa Sawa Uji na Mgonjwa

Nawatakia Sabato Njema πŸ˜„
 
Swali zito sana hilo.

Unajifanya kupinga hela za Abduli lakini Lowasa alivyocheua mpunga ulikaa kimya na kumnadi!
 
Ni nani aliyemleta Lowassa CHADEMA?!

#Free Dr.Slaa
 
Chaguzi ZOTE za Chadema hugubikwa na Rushwa kubwa kubwa Sema tu this time wanufaika ni wachache ndio tunasikia haya makelele

Chadema na Rushwa Sawa Uji na Mgonjwa

Nawatakia Sabato Njema πŸ˜„
We nawe umezidi kuanzisha nyuzi
Too much
Tulia soma na maoni ya wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…