CHADEMA mtafukuza wangapi? Tazameni mlipojikwaa na sio mlipoanguka

Hivi wakati Sofia Simba, Jesca Msavatavangu na Membe wanafukuzwa CCM swali Hilo hukulikumbuka?
Atalikumbuka wapi wakati ndiyo kwanza alikuwepo kijijini koromitje hata neno smartphone halijui
 
Lazima kuwe na sababu na kipi kimepeleka chama kufikia hapo.lakini chadema kutopenda kutoa sababu wakati wa kutokea mipasuko
Rushwa nia adui wa haki na forgery kwa mujibu wa sheria za nchi ni kosa kisheria na kifungo chake hakipunguwi miaka saba siasa wamefoji wabunge wa kutoka chadema bila ridha ya chama na wewe unajitahidi kufoji uongo kuwa ukweli kwa kutumia taaluma yako feki.
 
Dr Slaa alifukuzwa ccm,ccm haikufa,Lowasa,sumaye walifukuzwa ccm,ccm haikufa,kafukuzwa Membe ccm
Haikufa.alifukuzwa Bibi Titi.Ccm ilishawahi kufukuza wabunge 55,G55,waliokuwa wanadai serikali ya Tanganyika.
Mambo yakawaida haya,
Jambo la kujadili hapa ni ujambazi unaoendelea sasa hv,kila sekta Kuna wizi mtupu,
 
Mbona hata wewe umashafukuzwa na klla anayestahili kufukuzwa atafukuzwa tu na wewe endelea kuweka hasabu ya waliokwisha kufukuzwa
 
Mkuu nakubaliana na hoja yako ila nirekebishe kidogo kwamba Dr Slaa hakufukuzwa ccm bali aliondoka baada ya kukatwa kwenye kura za maoni ubunge wa Karatu,Wabunge wa G55 hakuna aliyefukuzwa ila tu azimio la bunge la kuanzzisha serikali ya Tanganyika ndo halikutekelezwa
 
Nidhamu na mapambano zinatengamana. Hakuna nidhamu hakuna mapambano.
 
Mbona mnawashwa washwa sana.. kila mtua na chama chake.. ya chadema yana wahusu nini aisee
 
Utopoloooo
 
Kwani ubora wa chama nikutofukuza wanachama wake,
Alafu tangulini mpenzani akukupa mbinu ya kumshinda?
Kaani mtulie dawa iwaingie
 
Chadema ni wasanii,wamefukuza 19 viti maalum,wameacha mmoja ambaye kachaguliwa katika uchaguzi ambao hawautambui
manyumbu yanashindwa kuhoji hili
 
Hata chama kikifukuza wote, sawa tu.... ni heri wanachama 2 waadilifu wenye kukifia chama, kuliko 19 wasiojielewa, wala kuelewa nini wanakipigania.
 
Chadema ni wasanii,wamefukuza 19 viti maalum,wameacha mmoja ambaye kachaguliwa katika uchaguzi ambao hawautambui
manyumbu yanashindwa kuhoji hili
Chadema ni wasanii,wamefukuza 19 viti maalum,wameacha mmoja ambaye kachaguliwa katika uchaguzi ambao hawautambui
manyumbu yanashindwa kuhoji hili
Mtoa hoja usanii upo ccm kuanzia uchaguzi mkuu na sakata hili la wabunge ila kwa vile akili yako haijakomaa utanguliza kejeli utafikiri unamkomoa mtoa mawazo mwenzio aliyechimba shimo alitumbukia mwenyewe bila kujijua.
 
ANZISHA CHAMA UWAITE HAO WOTE UNAOWAPENDA. SIYO LAZIMA KILA MTU AWE CHADEMA. TANZANIA NI YA VYAMA VINGI. UKIONA CHAMA FULANI HAKIFAI WALA HUPASWI KUUMIZA KICHWA AU KULETA FIGISU, WEWE ONDOKA TU UKAJIUNGE NA CHAMA UKIPENDACHO AU UANZISHE CHAMA CHAKO.
 
Chadema hawajajikwaa, wamechezewa rafu mbaya sana, refa kapiga filimbi na faulo imeamuliwa iende golini kwao
Haya kesi ngapi ziko mahakamani kudai haki ya kuibiwa?????.Please give us a breath tumechoka hii maneno yenu .2015 mlidai faulo but mlienda mahakamani this time around mko mahakama ya JF it now monotonous. Chadema hamuelewiki bhana.
 
Walitoa sababu na wakaomba muda hiyo ya kuomba muda mlizingatia??? Mnalaumu kukanyagwa katiba ya nchi lakini mnaona sawa kusiginwa katiba ya chadema. Duu SACCoS sheeeda
 
Naunga mkono hoja!
 
Ikibidi woote tutawafukuza na tupo tayari ofisi zetu tufugie kuku wenye kutupatia faida kuliko kuwa na watu wenye tamaa ya madaraka kama hawa mnaowarubuni kila siku.

Kama kwa jibu hili bado hajaelewa hana analo elewa asilani!
 
Walitoa sababu na wakaomba muda hiyo ya kuomba muda mlizingatia??? Mnalaumu kukanyagwa katiba ya nchi lakini mnaona sawa kusiginwa katiba ya chadema. Duu SACCoS sheeeda

Tangu lini kwa mtuhumiwa muda ukawa anaotaka yeye tu si anaopangiwa?

Akili zenu mbona heri mno za paka shume?
 
Cdm ndio chuo pekee cha kupika wanasiasa bora nchini. Kina hazina ya kutosha underground wa kutosha anatoka mtu anaingia mtu. Kuna kina bulaya, mdee, matiko underground zaidi ya 100 ni Kama siti ya daladala hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…