Ndugu zangu wa CHADEMA na Watanzania wote, kumekuwa na hujuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanywa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Hujuma hizo ni pamoja na uchaguzi na kuwakandamiza wapinzani. Haya yote yamekuwa yakifanyika miaka yote. Mara zote wapinzani wamekuwa wakiishia kuitisha vyombo vya habari na kulalamika tu. Baada ya malalamiko issue imekwisha. Hayo yamefanyika miaka yote na hakuna jipya lililotokea.
Mapemdekezo yangu ni kwamba:-
1. Wapinzani waachane kabisa na siasa kwa sababu wameshafeli tayari.
2. Wapinzani wakiungwa mkono na Watanzania wengine wafanye jambo moja tu la pekee sana ambalo kwalo mtu yeyote awaye yote hatadhubutu tena kuhujumu uchaguzi au kuwakandamiza wapinzani na Watanzania wengine.
Ebu tufikiri kidogo. Umegombea uchaguzi, uchaguzi umehujumiwa, aliyehujumu uchaguzi unakaa naye mtaani kila siku mnaonana halafu unakwenda kulalamika kwenye vyombo vya habari. Hizo ni akili au matope?
Yaani, unamwona mwizi anaingia chumbani kwako, anaiba, anaondoka na vitu vyako alivyoiba, mwizi mwenyewe unakaa naye mtaa mmoja kila siku mnaonana. Kama haitoshi, mwizi huyo huyo anafanya hivyo leo, kesho, keshokutwa nk. halafu kila ukiibiwa kwa namna hiyo hiyo unaishia tu kulalamika kwenye vyombo vya habari.
Hapo lazima unakuwa na matatizo ya akili.
Katika hali ya kawaida kama una akili timamu, mwizi huyo hawezi kukufanyia hivyo mara mbili au mara tatu hata kama atakuwa na pembe kali kiasi gani.
Nijuavyo mimi ni kwamba, hata kama wabaya wako ni wengi, unaanza kudeal na mmoja baada ya mwingine. Wengine wote watajifunza kutoka kwa mwenzao/wenzao uliowashikisha adabu, vinginevyo utabaki kulia lia kila siku miaka yote na karne zote mpaka utaonekana wewe ndo mwehu.
Pia soma:CHADEMA, acheni kulalamika kila muda, chukueni hatua