Pre GE2025 CHADEMA, mtalia mpaka lini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
357
Reaction score
686
Ndugu zangu wa CHADEMA na Watanzania wote, kumekuwa na hujuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanywa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.

Hujuma hizo ni pamoja na uchaguzi na kuwakandamiza wapinzani. Haya yote yamekuwa yakifanyika miaka yote. Mara zote wapinzani wamekuwa wakiishia kuitisha vyombo vya habari na kulalamika tu. Baada ya malalamiko issue imekwisha. Hayo yamefanyika miaka yote na hakuna jipya lililotokea.

Mapemdekezo yangu ni kwamba:-
1. Wapinzani waachane kabisa na siasa kwa sababu wameshafeli tayari.

2. Wapinzani wakiungwa mkono na Watanzania wengine wafanye jambo moja tu la pekee sana ambalo kwalo mtu yeyote awaye yote hatadhubutu tena kuhujumu uchaguzi au kuwakandamiza wapinzani na Watanzania wengine.

Ebu tufikiri kidogo. Umegombea uchaguzi, uchaguzi umehujumiwa, aliyehujumu uchaguzi unakaa naye mtaani kila siku mnaonana halafu unakwenda kulalamika kwenye vyombo vya habari. Hizo ni akili au matope?

Yaani, unamwona mwizi anaingia chumbani kwako, anaiba, anaondoka na vitu vyako alivyoiba, mwizi mwenyewe unakaa naye mtaa mmoja kila siku mnaonana. Kama haitoshi, mwizi huyo huyo anafanya hivyo leo, kesho, keshokutwa nk. halafu kila ukiibiwa kwa namna hiyo hiyo unaishia tu kulalamika kwenye vyombo vya habari.

Hapo lazima unakuwa na matatizo ya akili.

Katika hali ya kawaida kama una akili timamu, mwizi huyo hawezi kukufanyia hivyo mara mbili au mara tatu hata kama atakuwa na pembe kali kiasi gani.

Nijuavyo mimi ni kwamba, hata kama wabaya wako ni wengi, unaanza kudeal na mmoja baada ya mwingine. Wengine wote watajifunza kutoka kwa mwenzao/wenzao uliowashikisha adabu, vinginevyo utabaki kulia lia kila siku miaka yote na karne zote mpaka utaonekana wewe ndo mwehu.

Pia soma:CHADEMA, acheni kulalamika kila muda, chukueni hatua
 
Uko sahihi kabisa kwa 100%.

Ndio maana Mimi binafsi nawapuuza na pia nawaona hao wapinzani wa vyama vya Siasa ambao wamekuwa wakilalamika kila miaka ni Kama vile Watu wehu vile.

Hivi inawezekana vipi kwa mtu mwenye akili zake timamu sawa sawa kabisa kichwani mwake awe anahujumiwa kila Mwaka halafu yeye yupo tu kihasara hasara na kubaki akilalamika tu bila ya kuchukua hatua madhubuti kabisa za kukomesha hujuma au dhuluma anazofanyiwa? Kichwani atakuwa na akili timamu kweli?

Martin Luther King Jr aliwahi kusema kwamba "the right cannot be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by the oppressed."

Aidha, hata Osama bin Laden pia aliwahi kuwaambia CIA na Serikali ya Marekani kwamba "if you undermine our security, we undermine yours too, and if you kill our people we kill yours too. So, the choice is yours."

Dawa ya Moto ni Moto! Na kulipa kisasi ni haki kwa wale wanaodhulumiwa haki zao.
 
Haswaaa!!

Hivi karibuni niliongea na askari police mmoja, rafiki yangu, nikamuuliza; ni kwanini mnawanyanyasa sana CHADEMA miaka yote, Je ingekuwa Kenya mngeweza kufanya hivyo?

Alinipa majibu mawili:-
1. Tunawaendesha CHADEMA kwa sababu wapo tayari kuendeshwa. Gen-Z, ukiwazingua wanakuzingua hapo hapo lakini CHADEMA ukiwazingua wanakimbilia kwenye vyombo vya habari kulalamika.

2. Tunawaendesha CHADEMA ili kuwapima kama kweli wana utayari na uwezo wa kuongoza Nchi. Kama miaka yote wameshindwa kukomesha manyanyaso wanayopata, Je wakipewa Nchi na Nchi ikavamiwa, wataweza kuchukua maamuzi magumu ili kupambana na adui?

Kwa hali hii, si watabaki tu kulalamika kwenye vyombo vya kimataifa huku wakimwacha adui akipora maeneo kadhaa ya Nchi?

Hayo ndo majibu niliyopewa na huyo rafiki yangu askari police.
 
CDM wanapaswa waamke kutoka usingizini!
Sijui wanalalamikia nini ili iweje!
Polisi na ccm ni ndugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…