Japo mimi sio Chadema ila Chadema itashiriki kikamilifu chaguzi zote kwasababu Chadema walitishia hawatashiriki Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi, hivyo sasa Tume ya Uchaguzi sio ile ile NEC, Tume ya Uchaguzi sasa imebadilishwa jina inaitwa ni Tume Huru ya Uchaguzi.1. Nitashangaa ikiwa CHADEMA itashiriki Kwenye uchaguzi Mkuu 2025 kwa tume Ile Ile wanayoipinga.
NB: Kwann msitafute shughuli nyingine?
Lengo la mada yako linafahamika.1. Nitashangaa ikiwa CHADEMA itashiriki Kwenye uchaguzi Mkuu 2025 kwa tume Ile Ile wanayoipinga.
2. Mkishinda (kiti kimoja cha ubunge wa Jimbo) mnaanza drama tena. Miaka mitano inapita kwa maandamano. Ila Mwenyekiti Yule Yule.
NB: Kwann msitafute shughuli nyingine?
Watu mmekosa vya kushangaa ko unataka kwa kuwa ccm hawataki katiba mpya kwa ajili ya manufaa yao na Chadema waingie mkenge wa kususia uchaguzi ila hao ccm wapate mseleleko wa kupata uongozi wa kisiasa bure!1. Nitashangaa ikiwa CHADEMA itashiriki Kwenye uchaguzi Mkuu 2025 kwa tume Ile Ile wanayoipinga.
2. Mkishinda (kiti kimoja cha ubunge wa Jimbo) mnaanza drama tena. Miaka mitano inapita kwa maandamano. Ila Mwenyekiti Yule Yule.
NB: Kwann msitafute shughuli nyingine?
Tume ya uchaguzi sasa ni KIRAKA KIPYA KWENYE VAZI KUUKUU, ......DIVAI MPYA KWENYE KIRIBA CHA ZAMANIJapo mimi sio Chadema ila Chadema itashiriki kikamilifu chaguzi zote kwasababu Tume ya Uchaguzi sasa sio Tume ile ile, Tume ya Uchaguzi sasa ni Tume Huru ya Uchaguzi.
P
Hata huko kwenye kujiandikisha kupiga kura hakuna mwamko mkubwa kama zamani. Watakachofanya wakati wa uchaguzi ni kuruhusu wapiga kura kutumia kitambulisho chochote rasmi hata kama sio cha kura. Mfano NIDA, passport, driving licence nk.Ngoja tuone yatakayojiri uchaguzi sio mbali japo sioni kama watu watakuwa na mwamko wa kupiga kura uchaguzi huu
OoohJapo mimi sio Chadema ila Chadema itashiriki kikamilifu chaguzi zote kwasababu Chadema walitishia hawatashiriki Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi, hivyo sasa Tume ya Uchaguzi sio ile ile NEC, Tume ya Uchaguzi sasa imebadilishwa jina inaitwa ni Tume Huru ya Uchaguzi.
P
Nafikiri nivyema wasikose kupiga kura kwasababu hakuna ushindi hata ukiwa mdogo utapatikana kwa kugoma . Hata wale wabunge wengi aliowahi kupata Mh.Mbowe, tume na katiba vilikuwa ni vile vyazamani. Lazima waingize washindani uwanjani ili mechi inoge.Lengo la mada yako linafahamika.
Sasa ngoja nikufahamishe ujinga wenu upo wapi:
CHADEMA bila kujali ni nani yupo kwenye tume hiyo ni muhimu washiriki uchaguzi ujao kikamilifu kabisa.
Tena wasikose kuweka mgombea katika nafasi yoyote ile nchini; pasiwepo mtu yeyote wa CCM kupita bila kupingwa.
Wanachotakiwa kufanya kuanzia sasa ni kuwahimiza wananchi wajitokeze kwa wingi wao kabisa kupiga kura. Kila anayeweza kufika kituoni aende akapige kura.
Hilo moja la mhimu sana CHADEMA walitimize toka sasa hadi wakati wa uchaguzi.
Pili. Ni muhimu sana CHADEMA iwape elimu wananchi tokea sasa hadi wakati wa uchaguzi, kuhakikisha kwamba kura zao, walizo piga, hakuna mjinga/mpumbavu yeyote atakaye chezea hizo kura; hata hao watu wa Tume ya CCM, waelewe, wakifanya upumbavu na kura za wananchi wamekwisha habari yao.
Haya sasa, nenda kawaambie CCM wenzio kwamba hata hiyo Tume yao safari hii haiwezi kufanya uchafu wowote.
Umeelewa?
Hapana.Nafikiri nivyema wasikose kupiga kura kwasababu hakuna ushindi hata ukiwa mdogo utapatikana kwa kugoma . Hata wale wabunge wengi aliowahi kupata Mh.Mbowe, tume na katiba vilikuwa ni vile vyazamani. Lazima waingize washindani uwanjani ili mechi inoge.
Fisi hasusiwi bucha1. Nitashangaa ikiwa CHADEMA itashiriki Kwenye uchaguzi Mkuu 2025 kwa tume Ile Ile wanayoipinga.
2. Mkishinda (kiti kimoja cha ubunge wa Jimbo) mnaanza drama tena. Miaka mitano inapita kwa maandamano. Ila Mwenyekiti Yule Yule.
NB: Kwann msitafute shughuli nyingine?
1. Nitashangaa ikiwa CHADEMA itashiriki Kwenye uchaguzi Mkuu 2025 kwa tume Ile Ile wanayoipinga.
2. Mkishinda (kiti kimoja cha ubunge wa Jimbo) mnaanza drama tena. Miaka mitano inapita kwa maandamano. Ila Mwenyekiti Yule Yule.
NB: Kwann msitafute shughuli nyingine?