Pre GE2025 CHADEMA mtuambie ni kitu gani Hayati Magufuli aliahidi kwenye Kampeni 2015 hakijanyika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiongozi mmoja wa CHADEMA anasema Kampeni na Uchaguzi ni vitu viwili tofauti kwani Wagombea Wengi hutumia kampeni kilaghai tamu tamu lakini wakishachaguliwa hawatimizi ahadi

Nakubaliana naye kwa 95% nikiwa mpiga kura wa Kawe Mbunge wetu ni Gwajima

5% ndio za hilo swali hapo juu.

Ahsanteni sana 😂🔥
 
mwenye kufanya tathmini ni ccm mwenyewe maana ndiye aliyetoa ahadi, ukiwaita cdm, watakupiga madongo tu. hakuna namna.
 
Kiongozi mmoja wa CHADEMA anasema Kampeni na Uchaguzi ni vitu viwili tofauti kwani Wagombea Wengi hutumia kampeni kilaghai tamu tamu lakini wakishachaguliwa hawatimizi ahadi...

Yapo mengi. Lakini mojawapo, tena nakuu kwa kauli yake marehemu:

"Mtu aibe kwenye serikali yangu, hiii!!!". Alisema atakomesha wizi na ufisadi, na sasa umeshamiri zaidi. Report ya CAG inaonesha kuongezeka kwa pesa iliyokwapuliwa.

La pili, marehemu alitamka kuwa rasilimali za watanzania lazima xiwafaidishe Watanzania, lakini Serikali ya CCM imezipora na kuwapa waarabu kwa malipo ya rushwa waliyopewa wao binafsi. Wengine walipewa dola 50,000, V8 na nyumba Dubai.

Wengine walipewa dola 50,000 na V8; wanahabari makuwadi wao waliambulia dola 50,000 pekee. Lakini walichopewa wakubwa wa dili zima, haijulikani!! Lakini lazima kiwe ni kiasi kilichokuwa na uwezo wa kuwapofusha macho, hekima, na utu wa kibinadamu.
 
Yapo mengi. Lakini mojawapo, tena nakuu kwa kauli yake marehemu:

"Mtu aibe kwenye serikali yangu, hiii!!!". Alisema atakomesha wizi na ufisadi, na sasa umeshamiri zaidi. Report ya CAG inaonesha kuongezeka kwa pesa iliyokwapuliwa.

La pili, marehemu alitamka kuwa rasilimali za watanzania lazima xiwafaidishe Watanzania, lakini Serikali ya CCM imezipora na kuwapa waarabu kwa malipo ya rushwa waliyopewa wao binafsi. Wengine walipewa dola 50,000, V8 na nyumba Dubai. Wengine walipewa dola 50,000 na V8; wanahabari makuwadi wao waliambulia dola 50,000 pekee. Lakini walichopewa wakubwa wa dili zima, haijulikani!! Lakini lazima kiwe ni kiasi kilichokuwa na uwezo wa kuwapofusha macho, hekima, na utu wa kibinadamu.
DP World tuwape muda kuwahukumu sasa ni Mapema mno

Naona Wasafiiii wameanza kujiweka kando, Gwajboy naye kawaka sana Bungeni 😃
 
Kiongozi mmoja wa CHADEMA anasema Kampeni na Uchaguzi ni vitu viwili tofauti kwani Wagombea Wengi hutumia kampeni kilaghai tamu tamu lakini wakishachaguliwa hawatimizi ahadi

Nakubaliana naye kwa 95% nikiwa mpiga kura wa Kawe Mbunge wetu ni Gwajima

5% ndio za hilo swali hapo juu.

Ahsanteni sana 😂🔥
Tanzania ya Magufuli itakuwa ya viwanda, ilipofika kampeni za 2020 hakuwa anaongelea Tanzania ya viwanda hata kwa bahati mbaya!
 
Juzi umeambiwa kuna viwanda 13 Vya Magari au wewe mwenzetu unataka viwanda gani? 🐼😃🔥
 
Kiongozi mmoja wa CHADEMA anasema Kampeni na Uchaguzi ni vitu viwili tofauti kwani Wagombea Wengi hutumia kampeni kilaghai tamu tamu lakini wakishachaguliwa hawatimizi ahadi

Nakubaliana naye kwa 95% nikiwa mpiga kura wa Kawe Mbunge wetu ni Gwajima

5% ndio za hilo swali hapo juu.

Ahsanteni sana 😂🔥
Mimi siyo mwanachama wa vinavyoitwa vyama vya siasa ila kabla sijaja rasimi kukuorodheshea mengine mojawapo ni hili.

COMPUTER MPAKATO KWA KILA MWALIMU.
 
Kila mtu atapewa NOAH yake baada ya balaa la Makinikia.
 
mwenye kufanya tathmini ni ccm mwenyewe maana ndiye aliyetoa ahadi, ukiwaita cdm, watakupiga madongo tu. hakuna namna.
Kwan Magu atagombea tena? Angekuwapo kura yangu, ya mke wangu za watoto wangu 6 zote zingekuwa zake lakini Kwa waliopo no no no no?
 
Kiongozi mmoja wa CHADEMA anasema Kampeni na Uchaguzi ni vitu viwili tofauti kwani Wagombea Wengi hutumia kampeni kilaghai tamu tamu lakini wakishachaguliwa hawatimizi ahadi

Nakubaliana naye kwa 95% nikiwa mpiga kura wa Kawe Mbunge wetu ni Gwajima

5% ndio za hilo swali hapo juu.

Ahsanteni sana 😂🔥

Mbona simple sana. Uchaguzi huru ulifanyika?
 
Back
Top Bottom