johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kiongozi mmoja wa CHADEMA anasema Kampeni na Uchaguzi ni vitu viwili tofauti kwani Wagombea Wengi hutumia kampeni kilaghai tamu tamu lakini wakishachaguliwa hawatimizi ahadi...
Ipo Kisutu bwasheeIle mahakama ya mafisadi vipi bwashee?
DP World tuwape muda kuwahukumu sasa ni Mapema mnoYapo mengi. Lakini mojawapo, tena nakuu kwa kauli yake marehemu:
"Mtu aibe kwenye serikali yangu, hiii!!!". Alisema atakomesha wizi na ufisadi, na sasa umeshamiri zaidi. Report ya CAG inaonesha kuongezeka kwa pesa iliyokwapuliwa.
La pili, marehemu alitamka kuwa rasilimali za watanzania lazima xiwafaidishe Watanzania, lakini Serikali ya CCM imezipora na kuwapa waarabu kwa malipo ya rushwa waliyopewa wao binafsi. Wengine walipewa dola 50,000, V8 na nyumba Dubai. Wengine walipewa dola 50,000 na V8; wanahabari makuwadi wao waliambulia dola 50,000 pekee. Lakini walichopewa wakubwa wa dili zima, haijulikani!! Lakini lazima kiwe ni kiasi kilichokuwa na uwezo wa kuwapofusha macho, hekima, na utu wa kibinadamu.
Tanzania ya Magufuli itakuwa ya viwanda, ilipofika kampeni za 2020 hakuwa anaongelea Tanzania ya viwanda hata kwa bahati mbaya!Kiongozi mmoja wa CHADEMA anasema Kampeni na Uchaguzi ni vitu viwili tofauti kwani Wagombea Wengi hutumia kampeni kilaghai tamu tamu lakini wakishachaguliwa hawatimizi ahadi
Nakubaliana naye kwa 95% nikiwa mpiga kura wa Kawe Mbunge wetu ni Gwajima
5% ndio za hilo swali hapo juu.
Ahsanteni sana ππ₯
Juzi umeambiwa kuna viwanda 13 Vya Magari au wewe mwenzetu unataka viwanda gani? πΌππ₯Tanzania ya Magufuli itakuwa ya viwanda, ilipofika kampeni za 2020 hakuwa anaongelea Tanzania ya viwanda hata kwa bahati mbaya!
Utunge mtihani kisha ujisahihishie mwenyewe?!mwenye kufanya tathmini ni ccm mwenyewe maana ndiye aliyetoa ahadi, ukiwaita cdm, watakupiga madongo tu. hakuna namna.
Mimi siyo mwanachama wa vinavyoitwa vyama vya siasa ila kabla sijaja rasimi kukuorodheshea mengine mojawapo ni hili.Kiongozi mmoja wa CHADEMA anasema Kampeni na Uchaguzi ni vitu viwili tofauti kwani Wagombea Wengi hutumia kampeni kilaghai tamu tamu lakini wakishachaguliwa hawatimizi ahadi
Nakubaliana naye kwa 95% nikiwa mpiga kura wa Kawe Mbunge wetu ni Gwajima
5% ndio za hilo swali hapo juu.
Ahsanteni sana ππ₯
Hii nchi atafungwa muiba kuku sio pesaIle mahakama ya mafisadi vipi bwashee?
Kwan Magu atagombea tena? Angekuwapo kura yangu, ya mke wangu za watoto wangu 6 zote zingekuwa zake lakini Kwa waliopo no no no no?mwenye kufanya tathmini ni ccm mwenyewe maana ndiye aliyetoa ahadi, ukiwaita cdm, watakupiga madongo tu. hakuna namna.
Kiongozi mmoja wa CHADEMA anasema Kampeni na Uchaguzi ni vitu viwili tofauti kwani Wagombea Wengi hutumia kampeni kilaghai tamu tamu lakini wakishachaguliwa hawatimizi ahadi
Nakubaliana naye kwa 95% nikiwa mpiga kura wa Kawe Mbunge wetu ni Gwajima
5% ndio za hilo swali hapo juu.
Ahsanteni sana ππ₯