Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kwenye list of shame 2012 na Yusuph Manji mlimtaja. Mkaja mtaja pia kuwa ni Fisadi Papa.
Mlihusika sana kumchafua mfanyabiashara wa watu. Mkahusisha na Madawa ya kulevya.
Mwaka 2015-17 (kama sikosei) ikaja kuonekana kuwa hakuwa fisadi wala hakuwa anahusika na hizo biznez kwa maelezo yenu wenyewe. Na sasa amerudi kweli mnasema alionewa muwekezaji huyu mahiri mzalendo.
Je, hamuoni kuna haja ya kumuomba msamaha Mwekezaji wetu Mzalendo na kuanza msafisha na zile kashfa zote ambazo mlimsingizia mfanyabiashara wa watu?