Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Chadema mlimkamata manji mkamfirisi mkamuweka ndani mpaka akakimbia nchi
Ndiyo maana anajiita komeo la chumaHopeless article on the earth
Makonda ndiyo alimdanganyaChadema ndiyo waliomdanganya Magufuli kuwa Manji ni fisadi hawa ndo wa kulaumiwa. Magufuli alikosea sana kufikiria Manji ni Fisadi papa kama Chadema walivyotaka aminisha nchi.
Kweli maana chadema ndio wanaendesha ofisi ya takikuru na DPP na mahakama zote ziko chini ya chademaChadema ndiyo waliomdanganya Magufuli kuwa Manji ni fisadi hawa ndo wa kulaumiwa. Magufuli alikosea sana kufikiria Manji ni Fisadi papa kama Chadema walivyotaka aminisha nchi.
Ndiye aliyetoa List Of Shame na Mafisadi Papa? Kumbe Chadema wapumbavuh hivi. Makonda anakuwa CCM anawapa material ya hovyo kumdanganya Magufuli mnakubali mnayatangazaMakonda ndiyo alimdanganya
Nadhani ulikuwa bado kuzaliwa au mdogo wakati wa List of Shame na Mafisadi Papa. Ninyi wavulana wa miaka hii hamjajua haya mambo....ππππKweli maana chadema ndio wanaendesha ofisi ya takikuru na DPP na mahakama zote ziko chini ya chadema
Mkuu kwa hii mada utapokea chochote leo kweli? Au ni nyongeza tu umetoaKwenye list of shame 2012 na Yusuph Manji mlimtaja. Mkaja mtaja pia kuwa ni Fisadi Papa.
Mlihusika sana kumchafua mfanyabiashara wa watu. Mkahusisha na Madawa ya kulevya.
Mwaka 2015-17 (kama sikosei) ikaja kuonekana kuwa hakuwa fisadi wala hakuwa anahusika na hizo biznez kwa maelezo yenu wenyewe. Na sasa amerudi kweli mnasema alionewa muwekezaji huyu mahiri mzalendo.
Je hamuoni kuna haja ya kumuomba msamaha Mwekezaji wetu Mzalendo na kuanza msafisha na zile kashfa zote ambazo mlimsingizia mfanyabiashara wa watu?
Bonus. Nlishapokea tayari.Mkuu kwa hii mada utapokea chochote leo kweli? Au ni nyongeza tu umetoa
Dingi yakoNdiye aliyetoa List Of Shame na Mafisadi Papa? Kumbe Chadema wapumbavuh hivi. Makonda anakuwa CCM anawapa material ya hovyo kumdanganya Magufuli mnakubali mnayatangaza
Sasa hivi tunalipwa instantly hatukopwi.Mkuu kwa hii mada utapokea chochote leo kweli? Au ni nyongeza tu umetoa
Nasikia ile list ndio ilitoka mbinguniNadhani ulikuwa bado kuzaliwa au mdogo wakati wa List of Shame na Mafisadi Papa. Ninyi wavulana wa miaka hii hamjajua haya mambo....ππππ
Ila maisha magumu sana hadi watu wanapost ujinga kisa buku sabaMkuu kwa hii mada utapokea chochote leo kweli? Au ni nyongeza tu umetoa
Hizi akili za kimataga mnoo.Chadema ndiyo waliomdanganya Magufuli kuwa Manji ni fisadi hawa ndo wa kulaumiwa. Magufuli alikosea sana kufikiria Manji ni Fisadi papa kama Chadema walivyotaka aminisha nchi.
Wanamsemo wao kuwa ili mradi mkomo uende kinywaniIla maisha magumu sana hadi watu wanapost ujinga kisa buku saba
Hahahahaha nimecheka sanaChadema mlimkamata manji mkamfilisi mkamuweka ndani mpaka akakimbia nchi