CHADEMA mumuombe msamaha Yusuph Manji ama sivyo atawashtaki

Chadema ndiyo waliomdanganya Magufuli kuwa Manji ni fisadi hawa ndo wa kulaumiwa. Magufuli alikosea sana kufikiria Manji ni Fisadi papa kama Chadema walivyotaka aminisha nchi.
Basi Magufuli hakuwa makini na maamuzi yake. alikuwa na vyombo vyote vya usalama chini yake. kwann hakuvitumia kuchunguza kwanza? au na yeye alikurupuka?
 
Ndo walimchochea Magufuli amkamate kwa "uhujumu uchumi", wakamshauri Magufuli aagize manji apimwe mkojo kutwa mara 3 kwa siku 70!, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Basi Magufuli hakuwa makini na maamuzi yake. alikuwa na vyombo vyote vya usalama chini yake. kwann hakuvitumia kuchunguza kwanza? au na yeye alikurupuka?

Yeye alitimiza kwa nafasi yake. Na Chadema wamwombe msamaha Manji kwa kumsingizia. Kuwa ni Fisadi na Mhujumu Uchumi. Kama ambavyo walimsingizia Lowassa.
 
No hakufanya kwa nafasi yake, alikuwa mzembe kuamini chadema badala ya vyombo vya usalama. Alikuwa mzembe
 
Manji hana chuki na Chadema

Vp kwani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa dar alivyomdhalilisha hadi kumletea sekeseke
Vp alimuomba msamaha!

Ova
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naona yule aliyemuhusisha na biashara ile
Noma anaona yeye kila kukicha
Mwenzake anaonekana hadharani yeye anaishi
Kwa kujifichaficha
Namna gani pale

Ova
 
Wewe ni wakili wa Manji mkuu? Kama alichafuliwa kwanini hakwenda Mahakamani kuishtaki CHADEMA?
Mambo mengine muwe mnakaa kimya tu.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Hacha umbea wewe mtoto wa kike, vp bwanako ulimpa cha asubuhi?,
 
Chadema ndiyo waliomdanganya Magufuli kuwa Manji ni fisadi hawa ndo wa kulaumiwa. Magufuli alikosea sana kufikiria Manji ni Fisadi papa kama Chadema walivyotaka aminisha nchi.
Jiwe alikuwa anafanya kazi kwa maelekezo ya CHADEMA hivyo hakuwa na namna bali kumfilisi Manji kama alivyoamrishwa na hao CHADEMA.
 
Halafu chadema wakaja tena kuwa watetezi wa Manji? Hawa jamaa hawaeleweki kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…