CHADEMA muwe Waangalifu na Hizi helicopter ndogo mnazokodi wakati wa Kampeni!

CHADEMA muwe Waangalifu na Hizi helicopter ndogo mnazokodi wakati wa Kampeni!

inawezekana kabisa ukawa KALUMANZILA WA KISASA. Kwanza iliruka wee baadaye VIBALI VIKAPOTEA🤣🤣🤣. VIKIONENAKA unaweza sikia kile ambacho masikio hayataki kusikia. ASANTE SANA KALUMANZILA.
 
Labda itokee ajali ya kawaida lakini assassination record ya Tz ni:
1. Victim against risasi.
2. Kuviziana na kutekana
3. Ajali fake ya magari.
4. Kupotezwa.
5. SUMU ,hii iko CCM Sana.
 
Back
Top Bottom