johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wanakuudhi wanavyotumia helikopta?wazee wa anga
hovyo kabisa
Hapa uko sahihi. Asante kwa tahadhaliNi ushauri tu kwa ndugu zetu Chadema wazee wa Chopa
Kutokana na mabadiliko ya Tabia nchi Chopa siyo za kuziamini tena
Tunawapenda nyote
Mlale Unono 😀
Kwanini wasiziamini??
Sababu Kuna rais kwenye taifa moja kaanguka nayo...Kwanini wasiziamini??