The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria kimekusudia kufanya maandamano ya amani kwenda kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kushinikiza kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa chama hicho Mkoa wa Mwanza Amani Manengelo.
Akizungumza leo Februari 18, 2025 na waandishi wa habari Katibu wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Zakaria Obad amewataka wanachama na wafuasi wa chama hicho kujitokeza kwa wingi katika maandamano hayo ambayo yanatarajia kuanza saa mbili asubuhi.

- Soma Pia: Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi
- Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025