Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria kimekusudia kufanya maandamano ya amani kwenda kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kushinikiza kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa chama hicho Mkoa wa Mwanza Amani Manengelo.
Akizungumza leo Februari 18, 2025 na waandishi wa habari Katibu wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Zakaria Obad amewataka wanachama na wafuasi wa chama hicho kujitokeza kwa wingi katika maandamano hayo ambayo yanatarajia kuanza saa mbili asubuhi.
Maandamano hayahitaji kibali wameshatoa sababu ya kuandamana , polisi wanatakiwa kuwepo kuwapa ulinzi waandamanaji.
Ila kwa Tanzania kwakuwa polisi ni tawi la CCM watataka kuzuia maandamano na kusema wana taarifa za kiintelijensia juu ya uwepo wa viashiria vya uvunjifu wa amani ila maandamano ya kusherekea birthday ya mama Abdul polisi wapo full time na bunduki zao.
Maandamano hayahitaji kibali wameshatoa sababu ya kuandamana , polisi wanatakiwa kuwepo kuwapa ulinzi waandamanaji.
Ila kwa Tanzania kwakuwa polisi ni tawi la CCM watataka kuzuia maandamano na kusema wana taarifa za kiintelijensia juu ya uwepo wa viashiria vya uvunjifu wa amani ila maandamano ya kusherekea birthday ya mama Abdul polisi wapo full time na bunduki zao.View attachment 3240756View attachment 3240757

Lakini kama ni kwenye barabara hizi ambazo zimejengwa kwa ajili ya shughuli za kiuchumi hamna
Hizo barabara kwa sheria za usalama barabarani kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge ni kwa ajili ya magari sio kwa watembea kwa miguu au waandamanaji
Lakini kama ni kwenye barabara hizi ambazo zimejrngwa kwa ajili ya shughuli za kiuchumi hamna
Hizo barabara kwa sheria za usalama barabarani kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge ni kwa ajili ya magari sio kwa watembea kwa miguu au waandamanaji
Misafara ya viongozi inayosimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwa masaa mengi tu mbona hamjawahi kukemea , walau Philipo Mpango pekeyake ndio aliwahi kusema wazi hapendezwi wengine wanafurahia watu kusimamishwa saa 3-4 kisa kiongozi anapita.