CHADEMA mwendo mdundo

ni kwamba, CHADEMA si taasisi ya familia, huo ni uongo masatu, Chadema imeanzishwa chini ya sheria halali ya vyama vya siasa, inamuundo kamili wa taasisi, inakurugenzi na jumuia zake, Mbowe kua katika familia ya siasa haimnyimi haki ya kua sehemu ya siasa.
Hata kama watakua na hati chafu y ukaguzi sio lazima pesa awe amekula Mbowe, wapo watu pale walioajiliwa kudhibiti nidhamu ya matumizi y PEsa za umma.
CHADEMA ni ya Watanzania wapenda mageuzi na maendeleo ya Taifa Masatu.
 
Sawa mkuu akina sisimizi na viroboto washaondoka wamewaachia chama chenu manyangumi.
Bado wamebaki kama watatu hivi, tunasoma kanuni zetu ili tuwatendee haki kwa mujibu wa sheria na taratibu Masatu.
 
Nimekuwa nikisema mara kwa mara kwamba vijana muanzishe chama chenu ndo mtakabana wenyewe lakini haya mambo ya kujiunga na vyama vya wengine alafu mnataka madaraka kwa haraka kuliko walioanzisha vyama vyao hamtafika.

You are right. Huyu jamaa alikwa wapi muda wote huku akijua ruzuku inaliwa na Mbowe asiseme kama kweli mzalendo? Ukisoma hoja zake unaweza kushangaa CHADEMA walimvumilia vipi huo mkorogo mtupu hadi leo.
 
Sawa mkuu akina sisimizi na viroboto washaondoka wamewaachia chama chenmanyangumi.
Masatu, na mimi umenitumbukiza Chadema?. Kuna dhana potofu iliyojengeka kuwa kama sio CCM, basi ni mpinzani. Kwa hali hali Papana Nyangumi wote mbona ndio wanaendesha chama chenu.

Kwa watu safi wa kiukweli ukweli, papa na nyangumi wote ni samaki na akioza mmoja, wote wameoza ndivyo tunavyokiona chama chenu huku tukikubali ukweli kuwa upinzani upo upo tuu, ni mchanga na haujakomaa, but one thing for sure, "ipo siku"
 

No no no no
Wangwe he is dead ,sawa lakini ni physically. Idea ,nasaha zake bado zinaishi. Ni fikra zake na nasaha zinazoendelea hadi leo. Chadema waende wakaombe radhi ktkkaburi lake.

Newton, Nyarere,Nkwame nk. walishakufa since, lakini mawazo yao bado yana exist.
 
Ukiwa ndani ya dunia huwezi kuhisi kuwa dunia inazunguka.Ila ukitoka nje ya dunia ndo itaiona inavyojizungurusha.

Sauli alianza kuhubiri mabaya waliyokuwa wakifanya baada ya kuadhibiwa na kuingia kundi jingine. Nyingi hoja mnayokomalia binafsi naiona haina mshiko.
 

Pasco na mimi umenitumbukiza katika "chama chenu?" Kuna dhana potofu iliyojengeka kuwa kama sio CCM, basi ni mpinzani....
 


hayo ndo maneno, ukiwaambia CHADEMA wanakuja juu.Ila hawana budi kufuata hayo uliyoyaeleza mkuu.
 

Vipi unamaanisha serikali hii hii ya CCM ambayo kwako haiswihi? nilidhani kuna mambo ya accounting na financial management regulations ambazo ni muhimu kufanya kazi zikilindwa na kanuni na sheria ya vyama vya siasa!!

Sasa serikali ya CCM tena inayopingwa na chadema ndio isaidie hapo?hii imekaaje?

Naomba kuelewa zaidi
 
kama hali ndiyo hii basi hakuna aliyebora katika siasa za TANZANIA....
vijana mtaendelea kuwa Taifa la kesho mpaka mkome...
huyo MBOWE mi sioni hata anachokifanya kuelekea mageuzi ya kweli...ni mnafiki mtupu mana haiwezekani watu kibao wampinge yeye.
1.KABOROU
2 .AKWILOMBE.
3.CHACHA WANGWE
4.ZITTO KABWE...

haiwezekani kabisa watu hawa wote wampinge tena kwa nyakati tofauti halafu wawe waongo...
ADVANTAGE NI KWAMBA CHADEMA NI MALI YA MKWE WAKE
But he is nothing hafai hata kuwa kiranja wa usafi shuleni
 

Kweli wewe ni facts na tunahitaji watu kama wewe, crystal clear!!! nakuna cha jujuman wa kafulia!!!
 
mmh what that man says cannot be conceived by ordinary mind! Kwa nini asubiri mpaka avuliwe madaraka ndio aseme? Watanzania tunataka hoja zenye premises siyo hoja za njaa kama hizi. Hivi kazema 35 milion au billion? Mbona pesa zenyewe za nyanya?
 

leo nakua serious kwenye hii chadema!! HIvi kweli kabisa mnategemea watanzania tumsapoti Freeman Mbowe???

  1. is he a character credible even to be a minister?
  2. is he educated enough to have manners of addressing "his" people?
  3. Is he clean enough to claim qualities right before our very own eyes?
  4. How many shillings will he claim back kama madeni when he gets presidency?
  5. how much damage has he already made to his chadema especially to women wa kuteuliwa?
  6. do you even have ideas ya watu walio nyuma yake wanaweza kupewa wizara?
  7. is he appreciative of young and potential talents?
  8. unajua yuko tayari kuwapa mashemeji ubunge wa kuteuliwa?
  9. i would not be surprised mkabaki kufukuzana mpaka mjue tatizo liko wapi

Najua this is not pleasant to most but for tanzania to improve we need to be honest to each other
 
mmh what that man says cannot be conceived by ordinary mind! Kwa nini asubiri mpaka avuliwe madaraka ndio aseme? Watanzania tunataka hoja zenye premises siyo hoja za njaa kama hizi. Hivi kazema 35 milion au billion? Mbona pesa zenyewe za nyanya?

achana na jujuman mazee, chadema are doing good job ya kufagia magugu, nategemea wakimaliza hawa wafuliaji watafika hadi pale juu
 

Hiyo nyeusi ndo tatizo letu kuu.
 
orodha ya wanaompinga Mbiwe inaweza kuwa ndefu sana, lakini nao wanaweza kuwa na matatizo kadhaa, Kubwa, inawezekana wasiwe na hoja, au pili, wanaweza kuwa na hoja lakini wakashindwa kuipresent na kuisimamia. Sidhani kama nao wanaweza kuonekana tofauti
 
Kwa Chadema, hizi ni hatua muhimu, lazima pumba zitoke ili ubaki mchele safi, vinginevyo mtajikuta mnakwenda kwenye uchaguzi mkidhani mna watu, kumbe ni makapi matupu.

Mkuu kwenye politics hii ina athari kubwa sana, remember soft is stronger than stiff! waacheni waende....hii mbaya sana inarudisha chama nyuma na kukimbiza wanachama wengi na watu kupunguza trust!


I have been preaching the very same message MTM, asante sana mkuu kwa hilo , tukisema tunaonekana hatuipendi chadema au ndio wana CCM, wakati naichukia CCM kuliko kitu chochote dunia hii!

hayo ndo maneno, ukiwaambia CHADEMA wanakuja juu.Ila hawana budi kufuata hayo uliyoyaeleza mkuu.

Kweli mkuu, mbaya zaidi hata wale wana JF ambao unajua wanaamini katika constructive ideas ndio wa kwanza kutoa matusi, utadhani sisi pekee ndio wapiga kura!


wanaompinga Mbowe wanachokosea ni wanasema baada ya kutoka, naomba atokeee mmoja atoke bila kusema kitu jamani, nyie mnaotoka funikeni uchi wa chadema kaeni kimya, kutaneni na hao akina Mbowe wapeni live face to face wabadilike endeleeni na maisha yenu,HII YA KUSEMEA MAELEZO inanipa wasiwasi sana hamjui maana ya upinzani, hamsomi alama za nyakati, na mnaipalilia CCM.mnageuka wasema kweli wa chadema lakini wasaliti wa mabadiliko kwa watanzania wote...pumbaf

tuko vitani ala!
 
KUTOKANA NA TUHUMA ZINAZOMKABILI ZA KUFUJA RUZUKU NA KUWA MUWEKA SAINI WA HUNDI ZA CHADEMA.
http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=4577

Jamani mwacheni huyu mtuhuru na chama chake, hapa hata mpige kelele za namna gani jamaa ataendelea kupeta tuuu!.

Mimi nawaunga mkono wanajamvi wanaosema vijana wanaojiita MAKINI waanzishe chama chao na sio kung'ang'ania madaraka kwenye mali za watu.

Haya yote tunayoyasikia humu jamvini sio ya kuyapuuzia hata kidogo. Anaglieni msije umizwa na hata kupoteza maisha kwa sababu ya upofu wenu wa kisiasa.

Wengine wanahama CHADEMA nakwenda NCCR unategemea kitu gani tofauti kule? si ni majuzi tu bwana SELASINI ametoka NCCR kuja CHADEMA???.

Amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…