johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni vema Wananchi wakafahamishwa na Addo Shaibu wa ACT wazalendo bajeti ya Kikosi Kazi Cha Prof Mkandara ilikuwa shilingi ngapi na maazimio yalikuwa ni nini
Na J J Mnyika atueleze kilichojiri kwenye Maridhiano ni nini na bajeti ya Maridhiano ilikuwa Bei Gani ukiondoa lile Jengo la HQ ya Chadema walilonunuliwa pale Mikocheni
Watanzania siyo Wajinga wa kuingia Kibwege Bwege kwenye huo Mtego wenu wa No reforms no election
Ahsanteni sana