Aramun
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 461
- 2,213
CCM tayari wameshabugi kwa kumchagua mgombea wao kiholela, hata kama inajulikana ni mama ndiye angekuwa mgombea, lakini nguvu ya "MCHAKATO" wenyewe ndiyo huwa inaleta mshindo mkuu huko mtaani. Sasa mpaka kufika mwezi wa saba, ratings ya mama huko mtaani itakuwa ndogo sana.
Hata hivyo, majabali mengine ndani ya CCM bado yamekunja makucha yakisubiri wakati muafaka, maana wengi hawakubaliani na mama kukaa kwa miaka 14. Na mpaka wakati huo wengi muda utakuwa hauko upande wao tena. Endapo hapa kati patatokea chance yoyote ya kubadili upepo hakika hawataiacha.
CHADEMA na ACT endapo mtazichanga karata zenu vizuri mwaka huu, mtabadili historia kabisa. Kwa sasa CCM imeshajifia kifo natural.
Ndani ya chama hawana prominent figures tena, hawana ule mshikamano wa miaka yote uliozoeleka kipindi cha mwisho wa mihula 2 ya Rais anayeondoka madarakani.
Kazi kwenu.