CHADEMA na ACT-Wazalenda, wapeni Shangazi Fatuma Karume na Maria Sarungi Viti Maalum

CHADEMA na ACT-Wazalenda, wapeni Shangazi Fatuma Karume na Maria Sarungi Viti Maalum

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Si vema kuwaacha hawa katika mapambano haya. Wapeni Viti Maalum waingie Bungeni. I guess you will appreciate the contribution they are going to make in the house!
 
Naunga mkono hoja, japo japo wenyewe hawajajitanabaisha Kama wapo chama gani but it's good idea!
 
Naunga mkono hoja, japo japo wenyewe hawajajitanabaisha Kama wapo chama gani but it's good idea!
 
Si vema kuwaacha hawa katika mapambano haya. Wapeni viti maalum waingie bungeni. I guess you appreciate the contribution they are going to make in the house!
Hao uliowataja, unadhani wanaweza kukubali mchakato wa viti maalum pale saccos?.
 
Hawa wadada ni hatari sana kwa maCCM.
Wapewe nafasi za viti maalum wakamgaragaze kibaraka wa Meko (Mzee wa Kongwa) pale mjengoni.
 
Wewe tulia, hakuna atakaewachwa na mageuzi haya ,huu mdundo ni mkubwa ngoja wananchi tunaowatuma kazi wamalize kama tulivyowatuma majeshi yetu kumng'oa Nduli Idi Amin,na mwisho Majeshi walituma salamu na kusema..Kazi mliotutuma tumemaliza..................Kuna majeshi hadi leo hawakulipwa na serikali ya CCM.
 
Haya ni mapemdekezo sio kugawa. Huyu Dada yuko vizuri kwenye kusimamia haki na Ana principle za kutenda na kutetea haki.
Elimu na exposure yake vinafaa pia
UChief justice si mpaka uwe na Serikali, kwahiyo unaamini tayari wameshafika huko?
 
Duh wapo kwenye mipango ya mwenyekiti?
Si vema kuwaacha hawa katika mapambano haya. Wapeni viti maalum waingie bungeni. I guess you appreciate the contribution they are going to make in the house!
FB_IMG_16007601136920432.jpeg
 
Si vema kuwaacha hawa katika mapambano haya. Wapeni viti maalum waingie bungeni. I guess you appreciate the contribution they are going to make in the house!
Mara Paaap, Ni maafisa vipenyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao uliowataja, unadhani wanaweza kukubali mchakato wa viti maalum pale saccos?.
Naliondoa neno saccos, then nakujibu. Wanaweza sana maana wana malengo sawa na CDM an ACT
 
Haya ni mapemdekezo sio kugawa. Huyu Dada yuko vizuri kwenye kusimamia haki na Ana principle za kutenda na kutetea haki.
Elimu na exposure yake vinafaa pia
asante sana. Tunapendekeza washawishiwe, maana wanaonekana wanataka "kupigana" wakiwa nje
 
Back
Top Bottom