LGE2024 CHADEMA na ACT Wazalendo hawatashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa sababu Watu Wanataka kumuenzi Shujaa Magufuli!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Huo ndio ukweli Wenyewe

Baada ya Chadema na ACT Wazalendo kufurahia kutwaliwa kwa Shujaa Magufuli wananchi waliahidi kuwaadhibu kwenye uchaguzi

Subirini muone November ni Kesho tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ccm ni chama cha kikomunisti.

Aidha, CCM kuendelea kubaki madarakani au kushinda uchaguzi wa siasa hapa Tanzania haitegemei kupigiwa kura na mtu yoyote yule.
 
Magulification must go on

Tuwapige chini wote wasiotutakia mema kwenye Nchi hii.

Chagua kwa Umakini.
 
Huo ndio ukweli Wenyewe

Baada ya Chadema na ACT Wazalendo kufurahia kutwaliwa kwa Shujaa Magufuli wananchi waliahidi kuwaadhibu kwenye uchaguzi

Subirini muone November ni Kesho tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mkuu unamaanisha nini kusema hawatashinda? Kuwa Tanzania hapatakuwa na mshindi nje ya CCM?
 
CCM wataendelea kufanya ghiriba lakini hawatashinda.
 
Wanashindana Lakini Hawatashinda

Huo ndio Ukweli'

Nawatakieni Sabato njema ๐Ÿ˜ƒ
nashauri waache kutumia kilevi kabla ya mikutano yao.

naidi sana waepuke kutumia ujasiri wanaopata baada ya kutumia kilevi, kuamua kuvuruga au kuharibu ratiba za kampeni.

kiujumla chadema waache kutumia pombe kabla ya kampeni, wavumilie na kuzifakamia baada ya muda wa kampeni, na itapendeza zaidi ๐Ÿ’
 
Huo ndio ukweli Wenyewe

Baada ya Chadema na ACT Wazalendo kufurahia kutwaliwa kwa Shujaa Magufuli wananchi waliahidi kuwaadhibu kwenye uchaguzi

Subirini muone November ni Kesho tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Chadema inashindana na Polisi, TISS, Tume ya Uchaguzi, Mahakama na majuzi tu CIC ameliambia JW likae stand by kwa ajili yanuchaguzi, siyo kazi rahisi kupambana na vyombo vyooote hivyo vya dola, licha ya yote hayo tunaingiza timu bila woga wowote, hivi nyie hamuogopi hili chama la wana kweli?Na kuhusu kufurahia dhalim Magu kufutwa kwenye uso wa dunia hili ni haki yetu kwani yule alikuwa adui yetu.
 
Huo ndio ukweli Wenyewe

Baada ya Chadema na ACT Wazalendo kufurahia kutwaliwa kwa Shujaa Magufuli wananchi waliahidi kuwaadhibu kwenye uchaguzi

Subirini muone November ni Kesho tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Shujaa? Yule mwehu? Pumbavu kabisa Wewe!
 
Back
Top Bottom