johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ccm ni chama cha kikomunisti.Huo ndio ukweli Wenyewe
Baada ya Chadema na ACT Wazalendo kufurahia kutwaliwa kwa Shujaa Magufuli wananchi waliahidi kuwaadhibu kwenye uchaguzi
Subirini muone November ni Kesho tu πππ
Tutashinda sana sijui utauficha wapi uso wako.Huo ndio ukweli Wenyewe
Baada ya Chadema na ACT Wazalendo kufurahia kutwaliwa kwa Shujaa Magufuli wananchi waliahidi kuwaadhibu kwenye uchaguzi
Subirini muone November ni Kesho tu πππ
Sio kweli. CCM ni revolutionary party. There is a big differenceCcm ni chama cha kikomunisti.
Ha ha. CHADEMA inaenda kususa tena?Aidha, CCM kuendelea kubaki madarakani au kushinda uchaguzi wa siasa hapa Tanzania haitegemei kupigiwa kura na mtu yoyote yule.
Wewe ni mpuuzi sana JoHuo ndio ukweli Wenyewe
Baada ya Chadema na ACT Wazalendo kufurahia kutwaliwa kwa Shujaa Magufuli wananchi waliahidi kuwaadhibu kwenye uchaguzi
Subirini muone November ni Kesho tu πππ
wengi tumeshatoka kwenye umizimuHuo ndio ukweli Wenyewe
Baada ya Chadema na ACT Wazalendo kufurahia kutwaliwa kwa Shujaa Magufuli wananchi waliahidi kuwaadhibu kwenye uchaguzi
Subirini muone November ni Kesho tu πππ
Nitakukumbusha π€£Wewe ni mpuuzi sana Jo
Mkuu unamaanisha nini kusema hawatashinda? Kuwa Tanzania hapatakuwa na mshindi nje ya CCM?Huo ndio ukweli Wenyewe
Baada ya Chadema na ACT Wazalendo kufurahia kutwaliwa kwa Shujaa Magufuli wananchi waliahidi kuwaadhibu kwenye uchaguzi
Subirini muone November ni Kesho tu πππ
nashauri waache kutumia kilevi kabla ya mikutano yao.Wanashindana Lakini Hawatashinda
Huo ndio Ukweli'
Nawatakieni Sabato njema π
..fomu za Ccm zinajazwa na malaika ndio maana hawakosei hata moja.CCM wataendelea kufanya ghiriba lakini hawatashinda.
Ofcourse kama mshindani wako refa wake, sheria za mchezo anapanga yeye, kamati za kwake kwanini asishinde?Wanashindana Lakini Hawatashinda
Huo ndio Ukweli'
Nawatakieni Sabato njema π
Chadema inashindana na Polisi, TISS, Tume ya Uchaguzi, Mahakama na majuzi tu CIC ameliambia JW likae stand by kwa ajili yanuchaguzi, siyo kazi rahisi kupambana na vyombo vyooote hivyo vya dola, licha ya yote hayo tunaingiza timu bila woga wowote, hivi nyie hamuogopi hili chama la wana kweli?Na kuhusu kufurahia dhalim Magu kufutwa kwenye uso wa dunia hili ni haki yetu kwani yule alikuwa adui yetu.Huo ndio ukweli Wenyewe
Baada ya Chadema na ACT Wazalendo kufurahia kutwaliwa kwa Shujaa Magufuli wananchi waliahidi kuwaadhibu kwenye uchaguzi
Subirini muone November ni Kesho tu πππ
Wewe ukishaona mtu mzima anakunywa visungura basi ujue huyo ni zwazwa tu.Wewe ni mpuuzi sana Jo
Shujaa? Yule mwehu? Pumbavu kabisa Wewe!Huo ndio ukweli Wenyewe
Baada ya Chadema na ACT Wazalendo kufurahia kutwaliwa kwa Shujaa Magufuli wananchi waliahidi kuwaadhibu kwenye uchaguzi
Subirini muone November ni Kesho tu πππ