Tanzania tumekataa upinzani. Mjipange upya 2025Wewe uliambiwa huyo Aida ndiyo aliwazidi hao wapinzani mbinu..?
Mkakati kwa uchaguzi huu ulishaandaliwa mapema kwa sisiem kutangazwa iwe iwavyo..
Mmesahau ile kauli ya bwana mkubwa kwa wakurugenzi alipiwaambia haiwezekani awape nyumba, gari, mshahara halafu watangaze mpinzani kashinda...ike kauli we uliielewaje.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataanza kutwangana wenyewe kwa wenyeweTatizo Nini Hadi Mara hi mnakuwa na chuki na mbunge wenu? CCM hatuhitaki upendo na wabunge wa Chadema ndo maana tunashangilia mlivyotembezewa kichapo ila tunashangaa baada ya kipigo toka CCM Sasa mnaanza kutembezeana kichapo wenyewe kwa wenyewe.
Miswada yote sasa itakuja kwa hati za dharula na kupita kwa ndioooooooSasa wewe unafurahia kutoweka kwa wapinzani!
Subiri sheria za hovyo zitakavyopitishwa zitakuhusu na wewe.
Hujishangai wewe unayempa ushauri mbunge wa CDMTatizo Nini Hadi Mara hi mnakuwa na chuki na mbunge wenu? CCM hatuhitaki upendo na wabunge wa Chadema ndo maana tunashangilia mlivyotembezewa kichapo ila tunashangaa baada ya kipigo toka CCM Sasa mnaanza kutembezeana kichapo wenyewe kwa wenyewe.
Kwa kupiga watt wasionahatia, kuua, kuiba kura, kujaza kura feki ndio kukubalika kwa CCM?Wapinzani wamejiondoa wenyewe. Wamekataliwa na Wananchi
Uhanithi wenu unaeleweka. Kwani siasa ni kuisindikiza CCM na ujinga na upumbavu wake?Wadau, amani iwe kwenu.
CHADEMA na ACT Wazalendo sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamevurugikiwa na akili. Kuna msemo unaosema kuwa ukiwa na hasira au furaha iliyopitiliza usifanye maamuzi yoyote makubwa. Hilo CHADEMA hawajalizingatia...
Tulia wewe sisi ndio wataalamuTulia dawa ikuingie, mlijifanya mnajua sana kuongea na kutukana.
Mwaka huu mpaka maji muite mma, hakuna kuonewa huruma ni mwendo wa kusagwa tu.
Chadema ni lazima ife
Hahahahaha tena wamepigwa magoli ya toboNi aibu kubwa sana kwa Mbowe, Msigwa, Lema, Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida!
....mngekuwa mmekataa kwa sanduku la kura, polisi wajiweke pembeni....hapo tungeelewa...Tanzania tumekataa upinzani. Mjipange upya 2025
Ndivyo walivyokuambia ??Hapo zito na mbowe wameona wivu kwa waliopata na wao kukosa ,sema walioshinda hawata kubaki huu ufala wa kike
Sizitaki mbichi hizi.Hana njaa Kama wewe.mwanadamu
hataishi kwa kutegemea ubunge