Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kutangaza kujitoa kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani walizoshinda

 
Usiwafanye watu wote kuwa wapumbavu kama wewe.
 
Basi Bbowe ajiandae tena kupoteza wanachama wengine, kipindi cha corona ivi ivi, tususie bunge watu wakachoka sasa wakahama! kwa kifupi cdm chama cha kipuuzi sana, bora kimefufwa, utengenezwe upinzani mwingine wenye akili
 
Amevugwa mamako.
 
Hayo ni mawazo yako finyu

Una watoto watatu wawili wanauliwa afu mmoja ananunuliwa nguo na wewe unabaki chekelea kama zuzu
 
Hakuna anayechachawa. Ila kuwaamuru wawakilishi wa wanwnchi wajitoe hiyo ni dhulma kubwa wanafanua na wataadhibiwa tena 2025
ni mwakilishi gani aliyeamriwa kujitoa? tunaomba ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…