Chama cha kuundwa na ccm na Tiss mnategemea kipate watu?
una uhakika gani CDM sio mali ya hao uliowataja?
Akiweza kujibu hapa ntajua ameacha kuvuta goso!Mjinga mmoja.
Umetaja ACT ili uonekane kweli unataka chama kipya lakini lengo lako hasa ni CHADEMA.
Mnafki mkubwa wewe,we upo CCM chama kipya cha upinzani unakitaka cha nini.
CJADEMA inawaminya p.u.mbu.
Kawaida yako weye kuungana na ujinga.Hata Ukiambiwa mkaoge Msimbazi mtaani saa sita mchana utakubali.Naunga mkoni hoja!
Wasingekuwa wanapigwa mabomu kwenye mikutano yao, viongozi wake kubambikiwa kesi na kuporwa kura.
Hicho ni cha ccmUmoja Party UP
Chama maiti haiwatoshi .. mimi huwa siwaelewi MaCCM.Umoja Party UP