YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Watangaza nia ya kugombea ubunge vyama vya Chadema na ACT wazalendo wanawapa ugumu na kuviweka njia panda vyama vyao kwenye maamuzi.
Chadema watia nia wengine wanatoka mkoa wa Kilimanjaro wakati ACT wazalendo watia nia wengi wanatoka Pemba.
Na wengi wanafahamiana. Na wenyeviti wa hivyo vyama Kilimanjaro wanafahamiana na Mbowe mwenyekiti. Wa Chadema na kwa Pemba wanafahamiana na mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif ambao wana kazi ngumu kwenye kupitisha wagombea.
Mchujo waweza sambaratisha hivi vyama kuwa wakiwapitisha watu wa mikoa yao tu wa mikoa mingine wataona wameonewa na kujitoa kwenye vyama, wakipitisha wa mikoa mingine wa mikoa yao watajitoa kwa kuona wamedharauliwa wakati wao ndio wafia chama.
Kifupi zoezi la uchujaji majina halitaviacha salama hivi vyama viwili.