Kisukusi bangoshaKwahiyo kwenye vikao vyao vya ndani watakuwa wanatumia lugha gani
Kwani hivi vyama vitashiriki uchaguzi mwaka huu? Harufu ni kali sana kuwa CHADEMA watajitoa na watafanya juhudi kubwa kuvishawishi vyama vingine vijitoeWatangaza nia ya kugombea ubunge vyama vya Chadema na ACT wazalendo wanawapa ugumu na kuviweka njia panda vyama vyao kwenye maamuzi.
Chadema watia nia wengine wanatoka mkoa wa Kilimanjaro wakati ACT wazalendo watia nia wengi wanatoka Pemba.
Na wengi wanafahamiana. Na wenyeviti wa hivyo vyama Kilimanjaro wanafahamiana na Mbowe mwenyekiti. Wa Chadema na kwa Pemba wanafahamiana na mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif ambao wana kazi ngumu kwenye kupitisha wagombea.
Mchujo waweza sambaratisha hivi vyama kuwa wakiwapitisha watu wa mikoa yao tu wa mikoa mingine wataona wameonewa na kujitoa kwenye vyama, wakipitisha wa mikoa mingine wa mikoa yao watajitoa kwa kuona wamedharauliwa wakati wao ndio wafia chama.
Kifupi zoezi la uchujaji majina halitaviacha salama hivi vyama viwili.
Tuwekee orodha uliyonayoWatangaza nia ya kugombea ubunge vyama vya Chadema na ACT wazalendo wanawapa ugumu na kuviweka njia panda vyama vyao kwenye maamuzi.
Chadema watia nia wengine wanatoka mkoa wa Kilimanjaro wakati ACT wazalendo watia nia wengi wanatoka Pemba.
Na wengi wanafahamiana. Na wenyeviti wa hivyo vyama Kilimanjaro wanafahamiana na Mbowe mwenyekiti. Wa Chadema na kwa Pemba wanafahamiana na mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif ambao wana kazi ngumu kwenye kupitisha wagombea.
Mchujo waweza sambaratisha hivi vyama kuwa wakiwapitisha watu wa mikoa yao tu wa mikoa mingine wataona wameonewa na kujitoa kwenye vyama, wakipitisha wa mikoa mingine wa mikoa yao watajitoa kwa kuona wamedharauliwa wakati wao ndio wafia chama.
Kifupi zoezi la uchujaji majina halitaviacha salama hivi vyama viwili.
Watangaza nia ya kugombea ubunge vyama vya Chadema na ACT wazalendo wanawapa ugumu na kuviweka njia panda vyama vyao kwenye maamuzi.

Weka majina na takwimu zao la sivyo kaa kimya.Watangaza nia ya kugombea ubunge vyama vya Chadema na ACT wazalendo wanawapa ugumu na kuviweka njia panda vyama vyao kwenye maamuzi.
Chadema watia nia wengine wanatoka mkoa wa Kilimanjaro wakati ACT wazalendo watia nia wengi wanatoka Pemba.
Na wengi wanafahamiana. Na wenyeviti wa hivyo vyama Kilimanjaro wanafahamiana na Mbowe mwenyekiti. Wa Chadema na kwa Pemba wanafahamiana na mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif ambao wana kazi ngumu kwenye kupitisha wagombea.
Mchujo waweza sambaratisha hivi vyama kuwa wakiwapitisha watu wa mikoa yao tu wa mikoa mingine wataona wameonewa na kujitoa kwenye vyama, wakipitisha wa mikoa mingine wa mikoa yao watajitoa kwa kuona wamedharauliwa wakati wao ndio wafia chama.
Kifupi zoezi la uchujaji majina halitaviacha salama hivi vyama viwili.
Shimboni ShavoKwahiyo kwenye vikao vyao vya ndani watakuwa wanatumia lugha gani
Watangaza nia ya kugombea ubunge vyama vya Chadema na ACT wazalendo wanawapa ugumu na kuviweka njia panda vyama vyao kwenye maamuzi.
Chadema watia nia wengine wanatoka mkoa wa Kilimanjaro wakati ACT wazalendo watia nia wengi wanatoka Pemba.
Na wengi wanafahamiana. Na wenyeviti wa hivyo vyama Kilimanjaro wanafahamiana na Mbowe mwenyekiti. Wa Chadema na kwa Pemba wanafahamiana na mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif ambao wana kazi ngumu kwenye kupitisha wagombea.
Mchujo waweza sambaratisha hivi vyama kuwa wakiwapitisha watu wa mikoa yao tu wa mikoa mingine wataona wameonewa na kujitoa kwenye vyama, wakipitisha wa mikoa mingine wa mikoa yao watajitoa kwa kuona wamedharauliwa wakati wao ndio wafia chama.
Kifupi zoezi la uchujaji majina halitaviacha salama hivi vyama viwili.
Kigogo anasema Mwenyekiti wa CCM amepagawa kuona Chaadema kipo imara na uchaguzi umefika, tofauti wapambe wanavyomwamisha.Chadema na AcT wazalendo vyama vimemebaki mikoa wanayotoka wenyeviti wao Mbowe na Maalim Seif
Wewe Yehodaya sasa hatukuelewi. Jana tu umetwambia Chadema imekufa, haipo, Sasa hao wagombea wa Chadema wanatoka wapi?Watangaza nia ya kugombea ubunge vyama vya Chadema na ACT wazalendo wanawapa ugumu na kuviweka njia panda vyama vyao kwenye maamuzi.