Wakati WA uchaguzi mkuu ,Chadema waliungana na vyama vingine katika mwamvuli WA ukawa. Kikiwemo CUF. tLP nk. Muungano huu unafahamikanzaidi kwakua Unatetea katiba mpya.
Inashangaza kuona wana CCM wakipiga porojo kua CDm waliacha ajenda ya ufisadi.
Wakati wanajua fika kua CDM haikua peke yake ili kupeleka ajenda binafsi bali ya umoja wao.
Ufisadi utaepukikaje kama hakuna katiba mpya?