CHADEMA na CCM wakutana msibani

CHADEMA na CCM wakutana msibani

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Mbalizi, Tunduma Road
Tanzania

VITUKO MSIBANI CHADEMA NA CCM WASHIKANA PABAYA KILA MMOJA AONYESHA UWEZO WAKE


View: https://m.youtube.com/watch?v=IIW7fpPFuj8

Kufuatia msiba mzito wa aliyekuwa mwanachama kindakindaki kamanda wa CHADEMA aliyegusa maisha ya wakaazi wa Tunduma Road Mbalizi, viongozi wa vyama hivi vikuu vya siasa Tanzania wakutana msibani na kama ilivyo kawaida siasa ni maisha viongozi watumia shughuli hiyo kusisitiza yanayokuja 2024 / 2025 kama ufunguzi wa daftari la mpiga kura linaloanza kuhakikiwa na kuandukisha wapiga kura wapya kuanzia Julai Mosi yaani Julai 1 ,2024 nchini kote zoezi hili muhimu ...
 
Back
Top Bottom