britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kuna mbinu kali sana za kumkalisha mama wa kizimkazi hapo July 2025, anaweza akatokea akisema kwa sasa naona nipumzike,
Hii ni nguvu inayotoka ndani ya chama kuhakikisha hawatawaliwi Tena na mzanzibari na wengine hawataki mwanamke awatawale!
Vikao Vipo vingi mno yaan vingi na vingine vinaratibiwa na watu wazito sana
Najiuliza swali : Kama mlijua hawezi uraia kwanini mmpe umakamu na mnajua akifa Rais yeye ndo anaongoza?
Yale Yale ya CHADEMA kuona Lissu asingefaa Uenyekiti wakati mwenyekiti akitoweka anayetawala ni yeye!
Samia tumkatae kwa Hoja Kama tunavyowakataa marais wengine
Maana anayo madhaifu mengi mno ambayo yanatosha kumweka pembeni kuliko jinsia yake wala uzanzibar wake
Britanicca (tukutane July)