CHADEMA na CUF waungane kudai Katiba mpya!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nilimsikiliza Freeman Mbowe, ana kiu ya katiba mpya.

Nikamsikiliza Tundu Lisu, ana kiu ya katiba mpya.

Nikamsikiliza Hamad Rashid, haitaji katiba mpya.

Nikamsikiliza Zitto Kabwe, ana kiu ya tume huru ya uchaguzi

Nimemsikiliza Prof Lipumba ana kiu ya katiba mpya.

Hivyo basi napendekeza Freeman Mbowe na Prof Lipumba waongoze movement ya kudai Katiba mpya.

Nawasilisha.

Maendeleo hayana vyama!
 
Nilimsikiliza Freeman Mbowe, ana kiu ya katiba mpya.

Nikamsikiliza Tundu Lisu, ana kiu ya katiba mpya...
Wakati Fulani historia inakataa baadhi ya mambo,binafsi ninavyokumbuka ya buguruni ya Leprofeser napata kigugumizi kama kutakuwa na jambo hapo🤔.
 
Unajua Jo huna akili ama unayo lakini ni finyu kama matako ya bata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…