CHADEMA na International Democrat Union

CHADEMA na International Democrat Union

Fundi Mchundo

Platinum Member
Joined
Nov 9, 2007
Posts
10,448
Reaction score
8,705
Hivi karibuni tumefahamishwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema ameenda Marekani kuhudhuria Forum ya International Democrat Union (IDU) kinachofanyika Washington.

Na hivi karibuni amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Democrat Union of Africa. IDU na DUA ni ushirika wa vyama vya siasa vyenye mlengo wa Centre Right (Katikati kulia) na vyama vilivyomo ni pamoja na Republican Party (USA), Conservative Party (UK, Canada, Norway n.k.), Likud (Israel), Liberal Party (Australia).

Ningependa kujua kama kisera, Chadema kiko karibu zaidi na Republicans wa Marekani kuliko Democrats? Au kwa maneno mengine wanamkubali zaidi Trump kuliko Biden. Naomba nielimishwe.

Amandla...

JokaKuu Nguruvi3
 
Back
Top Bottom