Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,210
Badala ya kuwa na uchungu na maendeleo ya nchi, eti kila chama kina kimbilia kusimamisha mgombea urais kisa ruzuku, tunaenda wapi wapinzani? yaani ruzuku ni bora kuliko mapinduzi ya kimaendeleo. Na huko kwenye usimamizi wa kura sijui itakuwaje ili wasije kutuibia kura na haki yetu tutakayo pewa na wananchi.
naabudu kila siku, sijui wewe unaabudu j2 tu?
kwa hivyo chadema ni cha kanisa?
Uhuru ambao haujaupata since 50 years back...!!. Haya mwakwetu, unapigania uhuru wako kwa kuwaombea mema wakoloni weusi (ccm) waendelee kukaba uhuru wako?? Kama wewe ni maskini, unaweza kututabanaisha chanzo cha umaskini wako? waweza kutupatia clues za elimu yako pia?mimi mtanzania maskini, napigania uhuru wangu
Uhuru ambao haujaupata since 50 years back...!!. Haya mwakwetu, unapigania uhuru wako kwa kuwaombea mema wakoloni weusi (ccm) waendelee kukaba uhuru wako?? Kama wewe ni maskini, unaweza kututabanaisha chanzo cha umaskini wako? waweza kutupatia clues za elimu yako pia?
Huwa nawaambia watu kuwa "unaweza kushindana na kila kitu ila huwezi asilani kushindana na SAIKOLOJIA yako"
Kama unaweza kumshambulia na kumfitini MTANZANIA mwenzako kwa hoja za KIBAGUZI na KIDINI, je mpaka sasa haudhani kuwa UMEFILISIKA kichwani?
Nitafute nikupe DAWA
Wewe na huyo Lipumba wako mumeshajichokea, hamna jiya, udini,chuki,usaliti, Lipumba mbona tunamjua siku nyingi kuwa ni CCM-B, anataka huruma ya JK ili aje amkubuke kwenye vile viti kumi maarufu kama MTAMA KWA WATOTO( soma wapinzani)
Hivi jamani nielewesheni, inakuwaje inapoguswa CUF inaungtanishwa na udini sana, na CHADEMA inaonekana si ya udini, yaani ghafla akitajwa Lipumba inakuwa udini lakini slaa ambae 80% ya CV yake ni Kanisa Katoliki.
Nashauri kwa wanaTZ wote tuache kuingiza udini katika kumuua mtu kisiasa maana mwisho wake na madhara yake yataturudia wenyewe, hili ni jambo baya sana kwa mwelekeo wa mbele wa nchi hii yetu ambayo ina wakristo , waislamu, wabahai, wabudha, wahindu, na wengineo kina sisi ambao hatupo kwenye dini hizi za kwenu, tusikubali ukoloni mpya jamani.
Hata akivalishwa kanzu na kilemba na wahehe akawa kama mimi,waislamu wameshajuwa siri zake na wakatoliki,hatutompa kura zetu.
Tutaangalia nani nafuu kati ya Lipumba na Kikwete.
KURA YA MAONI
Mgombea yupi utampa kura yako ya Urais 2010?
Jakaya Kikwete 7%
Willbrod Slaa 88%
Ibrahim Lipumba 4%
Mutamwega Mugahywa 0%
Hashim Rungwe 1%
Paul Kyara 0%
Christopher Mtikila 1%
Peter Kuga Mziray 0%
Total votes: 339