Elections 2010 CHADEMA na kampeni kwa njia ya Mtandao

Umwejitahidi sana lakini naona umeamua kutoangalia hoja moja katika mada yako. Sioni ni kwa namna gani umaarufu wa mtu au kiongozi unamfanya awe kiongozi mzuri. Ninavyofahamu mimi uwezo wa kuongoza wala hauandamani na umaarufu. Si lazima mtu maarufu awe kiongozi mzuri. Mtu anaweza kuupata umaarufu kwa kuongoza vizuri... umaarufu wake utakuwa ni matokeo ya matendo yake katika madaraka. Kama unamaanisha kuwa watu maarufu ndio wanaofaa kuunda serikali, nadhani umepotoka.
Naamini hii ni hoja adhimu na samahani kama nitakuwa nimekukwaza
 
Huyo slaa si nasikia ameshindwa hata kumshawishi mke wake, mpaka alipotemwa na ccm, sasa ataweza kweli kuushawishi umma wa Watanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…