Chadema na kampeni yao ya Join the chain,inafikirisha.

Chadema na kampeni yao ya Join the chain,inafikirisha.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Joint the chain till now!
•Mapato ya wachangiaji wa ndani na wenzetu wa ughaibuni.
•total collected 400,000,000/-
•donors, ~1,880,000.

FB_IMG_16525024099262467.jpg
 
1.89M donors endapo tu wote wandani na nje ya nchi wangekuwa wamechangia kiasi cha 1000 tu,Jumla ya fedha zingefikia bil moja na ushee...lakini hapo wanaambiwa imepatikana million 400 tu....!
TUZIDI KUCHANGIA....!
kwa hesabu hii maana yake kila mchangiaji amechanga kiasi cha shs 200/-wakati ilisisitizwa tutajoin the chain kwa 1000/- tu.
 
Kuna watu wamekunja kama bilioni na zaidi hapo, hakuna uwazi, halafu wanataka kukabidhiwa nchi

The guys are so bright, wanawapa watu morale kwanza wakijaa tu wanapitisha azimio alafu wanalipa power na ads za kutosha.
 
Omba matumizi ya hizo hela uone kama kamati kuu haijakaa kukushukia kama mwewe. Hata Kama umechangia hutakiwa kuuliza inavyotumika. Mbowe kapoteza biashara zake, mnyika kapoteza ajira yako aliyonayo sasa halipwi ni kibarua tu
 
Back
Top Bottom