Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Endelea kufikiria utajoin mkianiJoint the chain till now!
•Mapato ya wachangiaji wa ndani na wenzetu wa ughaibuni.
•total collected 400,000,000/-
•donors, ~1,880,000.
View attachment 2223857
Huna uchungu kwa sababu uja joint the chain wenzako tumetoa pesa hapa kariakoo!Mambo yao waachie wenyewe...
1.89M donors endapo tu wote wandani na nje ya nchi wangekuwa wamechangia kiasi cha 1000 tu,Jumla ya fedha zingefikia bil moja na ushee...lakini hapo wanaambiwa imepatikana million 400 tu....!
TUZIDI KUCHANGIA....!
kwa hesabu hii maana yake kila mchangiaji amechanga kiasi cha shs 200/-wakati ilisisitizwa tutajoin the chain kwa 1000/- tu.
The guys are so bright, wanawapa watu morale kwanza wakijaa tu wanapitisha azimio alafu wanalipa power na ads za kutosha.Kuna watu wamekunja kama bilioni na zaidi hapo, hakuna uwazi, halafu wanataka kukabidhiwa nchi