Vijiji? Thubutu hadi kwenye majiji makubwa watu wanachangishwa fano wafanyakazi, makampuni, Teksi, daladala , mahoteli, shule n.kKuna watu vijijini wanachangishwa pesa kwa ajili ya huo mwengo
na pia unasambaza ukimwi vijijini...
Du! sikujua kama mwenge bado unakimbizwa! Nafikiri ungefaa ukumbizwe usiku sioni logic kwa nini kuukimbiza mchana
Hivi mwenge nini,na faida za mwenge ni zipi?