Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
naamini wazi katika majimbo ambayo upinzani unaota ndoto za mchana kuyanyakua ni pamoja na geita ambapo kuna roggers hapa geita mjini na tanganyika kule nyang'wale tukimuacha na yule wa busanda anayelala guest make hana kwao!
rogers ni geologist na anafanya kazi GGM,aliwahi kufanya utafiti kuhusu madini ya dhahabu katika kijiji kimoja cha jirani na geita miaka michache nyuma na akaandika ripoti ya kuwaambia wazungu wawaondoe watz waliopo maeneo yenye dhahabu kazi iliyofanywa na askari wa mgodi usiku wa manane na watu wale mpaka leo wanaishi kwenye mahema katika ofisi za mtendaji nwa kijiji cha kalangalala,leo anataka ubunge eti awatetee wananchi,eti wamemuomba!! ili ukatumalize wachimbaji?