instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Kwahyo kukosea kuandika kujihudhuru badala ya kujihuzuru ndo nikasome ? Nipo ujeruman kwasasaRudi shuleni jifunze kuandika kwanza.
Umekosea tena, kaangalie wenzio wameandika nini.Kwahyo kukosea kuandika kujihudhuru badala ya kujihuzuru ndo nikasome ? Nipo ujeruman kwasasa
Pitia account ya HecheOnyesha ushahidi wa post yoyote iwe picha , video au audio CHADEMA walionyesha kufurahi Nchimbi kujiuzulu.
Ukimaliza hapo weka ushahidi wapi walionyesha wamesikitishwa kupatikana makamu haramu mwingine.
Usichokijua Maria Sarungi ni kada wa CCM anayepigana na uovu wa CCM , Maria hajawahi kurejesha kadi ya CCM na kupewa ya CHADEMA na pia hana uanachama wa CHADEMA.
Wanachanganyikiwa haraka sanaNasubiri space yake X leo watatukana😂😂😂
Pitia account ya Heche
Chadema toka lini ikashughulika na machoko yasiyoweza kushindana mpaka yabebwe na polisi, chadema ni dude jingine ukilivamia kijinga Kwa ushoga wako utakunya mavi hadharani.Mlifurahia Mheshimiwa kujihuzuru sahzi mnaumia kumpata Mh. Makamu mpya sasa mnafikir mambo yatasimama? Hivi mnaakili kweli nyie nyumbu
Ndo maana mnaitwa MANYUMBU.
Ccm imejaa mapunga ndio maana hayawezi kushindana maana yanajua yatatema kisamvuWanachanganyikiwa haraka sana
Ccm imejaa machoko ndio maana kina katambi wa chadema wamepewa vyeo huku machoko ya kibaki jf.Pitia account ya Heche