CHADEMA na TEKNOLOJIA


Naungana na wewe katika hili na natoa wito kwa wazalendo wote kuto ku shy away kujiunga na upinzani kwani tuki shy away tusiowapenda kutuamulia mambo ndo wanakuwa waamuzi hata kama hatupendi. Dawa ni kupambana nao nakuwashinda kwa nguvu ya hoja. Kama democracy iliminywa basi ni kwasababu namba ya wazalendo ilikua kidogo na nguvu yao ilimezwa na wasiopenda democracy (Ila kwa hili sina uhakika for am not an eye shahidi) na kwasababu hiyo hii ni challenge kwetu na ni lesson learnt ambayo ni muhimu katika kusonga mbele. Hakuna kulala mwendo mdundo mpaka kieleweke. No retreat no surrender.........
 

Hapo mpendwa sijakupata sawa sawa. Inamaana CHADEMA ikichukua nchi basi ndo itawale milele? Mimi nadhani lengo nikuondoa supremacy na mambo ya chama kimoja kushika hatamu regardless of chama kitakachokuwa madarakani. Kama mawazo ni kusaidia CHADEMA kuingia madarakani alafu na yenyewe iwe kama CCM no thank you, hapo mimi sipo kabisa na kwa sababu hiyo tungeweza tu kuingia ndani ya CCM na kuibadili BUT naturally a humanbeing is a selfish being pale kunapokosekana challenge lazima atajisahau na kuanza ku develop monopoly ya kila kitu.

Kwangu mimi nikiwa opposition hata kama chama changu hakitachukua nchi but kikiweza kuchallenge na kuleta balance kwenye power its more than enough for lengo ni maisha bora kwa wote na siyo quest for power; hiyo ni desire of many Tanzanians I guess.
 

Feli,
Kutawala kuna heshima yake.
Kwa nini ukubali sera zako unazoziamini zizidi kuwa chini ya Zulia?
 

At this point, kwa karne ya leo, kwa Chama kama Chadema kilitakiwa kijioneshe wazi kabisa kinajiendesha kwa kufuata misingi iliyo bora kabisa na wala isiyokaribiana na Chama kingine chochote. Kitendo cha kuvuruga na kuviza democratic processes ndani ya chama hicho ni ishara tosha kuwa uhalali wa Chadema kuwa chama mbadala uko katika mashaka makubwa mno. Katika kipindi cha miaka 17 iliyopita tangu kuruhusiwa siasa ya vyama vingi hatutegemei kupata chama mbadala ambacho kimeonesha udhaifu mkubwa katika kutekeleza demokrasia ndani ya mifumo yake.
Ni vema tukasoma alama za nyakati kuwa Chadema imepoteza some core values ambazo zilikuwa zinakifanya kuonekana kama chama kinachoelekea kuwa chama mbadala.
Endapo kama unadhani kilichotokea ni ajali za kisiasa basi ni vema pia ukaelewa kuwa sasa ni wakati muafaka wa Chadema kuchukua nafasi yake kama vyama vingine kama vile TLP, TADEA nk.
Kitendo cha kufuta matokeo ya uchaguzi na kuahirisha kwa miezi sita inatosha kabisa kuonesha kuwa ni strategies za kutaka kuwadhibiti wale wote ambao walikuwa wanatakachanges za uongozi ndani ya Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…