LGE2024 CHADEMA na TLP zaungana na kukubaliana kuunda serikali ya Mseto, TLP itatoa Mwenyekiti na Chadema itatoa wale Wajumbe 5

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wagombea wa CHADEMA na TLP Mtaa wa Tandale Kwa Tumbo wamekubaliana kuunganisha Nguvu ambapo Mwenyekiti kutoka TLP apewe Kura na Wajumbe Wote kutoka Chadema wapewe kura kisha wataunda serikali ya Mseto
Mgombea Uenyekiti ni mh Ruben Peter ( TLP)

Ushirikiano huu umeungwa mkono na Wafuasi wa vyama vya Upinzani Tandale na Manzese

Mwananchi

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€
 
hiyo ni earthquake au tsunami gentleman? dah 🀣
 
Daah aisee
 
Machadema Kwa Sasa yanapymulia machine Kila chama wanahaha.

Saizi wanashirikiana na wale waliowaita CCM B πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCwuZ4At0_0/?igsh=dWFxZ2xramY0cW0w
 
Ndio mambo tunataka sasa, ACT, TLP, CUF, Chauma na vyama vingine lazima ifike pahala tutangulize maslahi ya umma kwanza,, bila miungano kama hii hamuwezi katu kuiangusha CCM, hii itakua taarifa mbaya sana kwa Lucas Mwashambwa na chawa wenzie,,
 
Chapa ya jogoo!!!
Chadema haijifunzi kutoka zoezi la 2015!!
 
Kama nchi tuna mambo mengi ya msingi ya kufanya, siasa za kishamba kama hizi tungeziacha maake mwisho ni kutekana tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…