dev senior
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 458
- 557
Tilion 1.5 unaijua wewe. Hivi bilioni 1500 unafikiri ni pesa ya mchezo. Mna akili za kushikiwa nyie. Mnapenda sana kusikiza uongo na kuamini.Kwa hiyo kwenye ile T1.5 iliyomwondoa CAG kazini, na wewe ulikamuliwa pia?!
Kujenga uwanja wa ndege, taa za batabarani, mbuga mpya ya wanyama kule nyumbani, mbona hiyo pesa ni ndogo tu! Za kununua kina dr. Molel ni Lijualikali ni mfuko mwingine?Tilion 1.5 unaijua wewe. Hivi bilioni 1500 unafikiri ni pesa ya mchezo. Mna akili za kushikiwa nyie. Mnapenda sana kusikiza uongo na kuamini.
Tutaboresha elimu yetu hatua kwa hatua, watu wenye fixed mindset kama Wewe, ambao wamesha kariri maisha Kwa sababu ya mfumo dhaifu wa elimu, itabidi waone ndiyo waamini. Nimesoma zaidi ya nchi moja, Africa na nje ya Africa, nina uelewa wa mifumo mbalimbali ya elimu. Lakini swala Hapa ni zaidi ya mimi na wewe, ni mustakabali wa nchi yetu, kizazi cha sasa na badaye. Hata huu mfumo wa elimu leo, ni tofauti na mfumo wa elimu wa miaka ya nyuma! Kuna mabadiliko yamewai kufanyika, na yataendelea kufanyika, na CHADEMA, au na wengine.
Kujenga uwanja wa ndege, taa za batabarani, mbuga mpya ya wanyama kule nyumbani, mbona hiyo pesa ni ndogo tu! Za kununua kina dr. Molel ni Lijualikali ni mfuko mwingine?
Kwa ruzuku au kwa kodi za Watanzania? Kwa mkopo wa benki ya dunia, au ccm wamenunua kwa pesa zao za mfukoni? What a nonsense wakati ukiniambia sense!!sasa nyie mmehindwa nn kununua na nyie, talk sense mda mwingine
Kuna mada ya msingi hapa, tujikite kwenye mada, soma tena bandiko langu, Lisu amekuja na sera mpya ya elimu ambayo inaenda sambamba na maitaji ya sasa ya elimu ya maisha na soko la ajira! Hizi porojo zako nyingine ulizokaririshwa kaa nazo!do you even know why you went to school or ulipita tu? na sio kwamba nakukejeli nakuuliza kwa uzuri. tell me who and why was the syllabus created
Kuna mada ya msingi hapa, tujikite kwenye mada, soma tena bandiko langu, Lisu amekuja na sera mpya ya elimu ambayo inaenda sambamba na maitaji ya sasa ya elimu ya maisha na soko la ajira! Hizi porojo zako nyingine ulizokaririshwa kaa nazo!
Kwa ruzuku au kwa kodi za Watanzania? Kwa mkopo wa benki ya dunia, au ccm wamenunua kwa pesa zao za mfukoni? What a nonsense wakati ukiniambia sense!!
Kabla ya kujenga taasisi tunajenga watu, watu hata hao watajenga taasisi kama unavyo ona wakichangia sasa! Kumbuka waliwalipia viongozi faini na matibabu ya Lisu pia! Waswahili wanasema utakula ulipo peleka mboga, Bible inasema pale ilipo hazina yako, ndipo ulipo na moyo wako! Najua hutaelewa lakini kuchangisha ni mkakati wa zaidi ya kupata pesa tu!cdm hua mnajulikana sana kwa mada za hovyo, chama kina ruzuku ila bado hata pesa za kampeni hamna, ofisi ile mpaka leo ni ile ile, imefika mpaka hatua mnachukua pesa za wanachama! what a shame
Kabla ya kujenga taasisi tunajenga watu, watu hata hao watajenga taasisi kama unavyo ona wakichangia sasa! Kumbuka waliwalipia viongozi faini na matibabu ya Lisu pia! Waswahili wanasema utakula ulipo peleka mboga, Bible inasema pale ilipo hazina yako, ndipo ulipo na moyo wako! Najua hutaelewa lakini kuchangisha ni mkakati wa zaidi ya kupata pesa tu!
Ukihama kwa shemejiyo akili itakukaa vzrkiufupi wapinzani hawana Hoja
Lissu ana karama nyingi watanzania tumpe Urais atatuvusha.Hili LA elimu nisahihi kabisa,mnaona vijana wanakosa ajira bado mnaendlea na mfumo uleule.Bora Lissu kaleta wazo jipya
Siyo tu kwamba wanachangishwa, wanachanga, na hata baada ya uchaguzi huu watachanga! Wewe na Lijualikali lieni mpaka machozi ya damu, lakini hatuachi kuchanga! Alafu Wewe huongei mashudu, ni point tupu, bravo!hawa ndo cdm sasa! pathetic, ofisi ni utambulisho wa shirika boss, ingekua ivo hamna haja ya makampuni kua na ofisi wangekua wanawaambia watu wafanye kazi kokote kwa sababu mnajenga watu, kwa kifupi hamna pointi mliongea mpaka leo yenye mashiko! yaani mnaongea ushudu kila sku, wacheni kula pesa jengeni ofisi, chama chenyewe kila mwezi mnapokea mil 300+ , bado wanachama wanalipa , bado mnawachangisha juu, sasa mmehamia kwa wananchi, mnashindwa ata kujenga ofisi mkaachana na ile gesti yenu pale ufipa
2020 kura kwa TAL..... [emoji7]Nimepokea kwa mikono miwili sera ya CHADEMA, hasa kuhusu mfumo elimu.
Sera yetu ya elimu na mfumo huu wa elimu siyo mzuri. Tuna mfumo wa elimu ambao umejikita kwenye kukariri ili kujiandaa na mitiani ya mwisho. Lengo ni kupata cheti cha ufaulu wa mitiani, na hatimaye kuajiriwa.
Kuna matatizo kadha yanayo tengenezwa na mfumo huu wa elimu:
Kwanza, mfumo huu haumpi mwanafunzi uwezo wa ubunifu, kujenga hoja binafsi, zaidi ya kukariri alicho elekezwa na mwalimu!
Pili, mwanafunzi hapati maarifa yalikusudiwa.
Tatu, mfumo huu unajenga mianya ya rushwa, siyo tu kufaulu mitiani yenyewe, lakini ndiko tabia za rushwa na ufisadi zinakozaliwa.
Mfumo huu wa elimu siyo shirikishi, kwa sababu mwanafunzi hapati nafasi za kushiriki darasa kwa kuchangia au kuuliza maswali. Ni mfumo wa “ndiyo mzee”, ambapo mwalimu ni ‘I know it all, na wanafunzi ni ‘you know nothing’! Hapa ukijumlisha na dhana ya ‘mkubwa hakoseagi’, unapata taifa la watu wasikosowa na kutopenda kukosolewa hata kama unakosea.
Matatizo hayo ya mfumo wetu wa elimu na pia uelewa mdogo wa lugha za kimataifa, ni kikwazo kikubwa cha soko la ajira ndani na nje ya nchi, hasa wakati huu wa utandawazi.
Asante sana Tundu Lissu na CHADEMA kwa utayari na uthubutu wenu wa ku-challenge mfumo wetu wa elimu. Nategemea kwamba sera yenu hii itakuja kutekelezwa kwa kuufumia kabisa mfumo wetu wa elimu, ili kujenga taifa lenye elimu bora, katika kutekeleleza kaulimbiu yenu ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.
Mungu ibariki Tanzania , Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mmbariki Tundu Lissu!
Siyo tu kwamba wanachangishwa, wanachanga, na hata baada ya uchaguzi huu watachanga! Wewe na Lijualikali lieni mpaka machozi ya damu, lakini hatuachi kuchanga! Alafu Wewe huongei mashudu, ni point tupu, bravo!
Tukiling’oa hili jinamizi, itakua hatua ya kwanza ya kujikomboa! Baada ya raisi TAL kuingia madarakani, mchakato wa kuiweka nchi yetu panapostahili utaanza rasimi!Lissu ana karama nyingi watanzania tumpe Urais atatuvusha.
unaona sasa jinsi ulivyo na akili ndogo. uwanja wa ndege wa chato ulikuwa kwenye bajeti. ila bunge lilipigwa chenga, haikuwa bayana uwanja wa ndege utajengwa wapi kwenye mkoa wa Geita. tatizo hamfanyi checkup ya facts zote. wengi nyie ni oya oyaKujenga uwanja wa ndege, taa za batabarani, mbuga mpya ya wanyama kule nyumbani, mbona hiyo pesa ni ndogo tu! Za kununua kina dr. Molel ni Lijualikali ni mfuko mwingine?
Akili kubwa ni kutetea ufisadi wa ccm kwa kuwa tu mapenzi yamekupofusha macho?! Huo uwanja una faida gani kwa wana-Geita na Tanzania kwa jumla?? By the way, umejua kilicho tokea huko wakati Mwamba Lissu akiifuta ccm?!unaona sasa jinsi ulivyo na akili ndogo. uwanja wa ndege wa chato ulikuwa kwenye bajeti. ila bunge lilipigwa chenga, haikuwa bayana uwanja wa ndege utajengwa wapi kwenye mkoa wa Geita. tatizo hamfanyi checkup ya facts zote. wengi nyie ni oya oya
Wana hojaKwa hili namuunga mkono kwa asilimia zote!!
Mfumo wa elimu tunaouhitaji ni wa kuwawezesha watu kuwa na practical skills kwa kiasi kikubwa!
Hatuhitaji elimu za mkwawa alifia bwawa gani, sijui mzungu wa kwanza anaitwa nani!! Elimu ya kipumbavu sana!
Fumua kabisa huu ugonjwa wote wa akina ndalichako!